Hapana hilo sio jina la huyo mtoto. Basically alikuwa anasifia kitu so to speak. Tenderoni ni slang ya sifa za aina flani ya mtoto wa kike. So alifupisha na kuita Roni kunogesha, lakini halikuwa jina halisi la mtu bali ni KITU.Sawa, ila ikishakuwa jina huwezi kutanguliza 'a' , kwa sababu si anamuimbia Mtoto mzuri wa kuitwa Roni?