Bobby Shmurda ahukumiwa miaka 7 jela

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Mkali wa ‘Hot Boy’ Bobby Shmurda amehukumiwa
kwenda jela miaka 7. Mwezi uliopita, Bobby alikubali mashataka
yaliyokuwa yanamkabili ya kumiliki silaha kinyume
cha sheria, Japo alidai kuwa alilazimishwa na wakili
wake kukubali mashitaka hayo. Hata hivyo mwanzo alikuwa amehukumiwa miaka 5
lakini hakukubali kwasababu rafiki yake, Chad
“Rowdy Rebel” Marshall alikuwa amehukumiwa
miaka 12 kwahiyo ikabidi aongezewe ili rafiki yake
apunguziwe, wote wamahukumiwa miaka 7 na
mahakama.
 
Daah bob shmurda ma niggah --hot niggah ......wafanye kumtoa kwa pesa 2
 
Daah bob shmurda ma niggah --hot niggah ......wafanye kumtoa kwa pesa 2
 
About week ago week ago,I'm squeezing hoes. ...He's Hot Niqqa...GS9 He goes Hard.
 
Itakuwaje kama jamaa yake akipata msamaha wa Rais say 3yrs b4 muda wa kutumikia kifungo haujaisha???!!
Nawaza tu...
 
Dude dry snitched on himself and everybody else in front of the world. Rap and stupidity are kinfolks.
 
Itakuwaje kama jamaa yake akipata msamaha wa Rais say 3yrs b4 muda wa kutumikia kifungo haujaisha???!!
Nawaza tu...

Marekani hakuna msamaha wa rais. Hilo swala linashughulikiwa na Board of Parole na inategemea ns hukumu ikoje.
 
Marekani hakuna msamaha wa rais. Hilo swala linashughulikiwa na Board of Parole na inategemea ns hukumu ikoje.
Acha kukariri wewe...Tafuta mtu anaitwa John Forte alikuwa Member wa Crew ya kina Wyclef. Jamaa alifungwa jela lkn Bush ndio alikuja kumtoa kwa Msamaha. Sasa sijui wewe unaizungumzia Marekani ipii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…