STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Mkali wa ‘Hot Boy’ Bobby Shmurda amehukumiwa
kwenda jela miaka 7. Mwezi uliopita, Bobby alikubali mashataka
yaliyokuwa yanamkabili ya kumiliki silaha kinyume
cha sheria, Japo alidai kuwa alilazimishwa na wakili
wake kukubali mashitaka hayo. Hata hivyo mwanzo alikuwa amehukumiwa miaka 5
lakini hakukubali kwasababu rafiki yake, Chad
“Rowdy Rebel” Marshall alikuwa amehukumiwa
miaka 12 kwahiyo ikabidi aongezewe ili rafiki yake
apunguziwe, wote wamahukumiwa miaka 7 na
mahakama.