Bobi wine amepewa sumu(injection) daktari wa jeshi asema ni pain killer waganda wasiwe na wasiwasi

Bobi wine amepewa sumu(injection) daktari wa jeshi asema ni pain killer waganda wasiwe na wasiwasi

Poa! Jamaa ni mbunge na pia ni mwana muziki maarufu huko uganda,tatizo lake ni kuwa mbunge kutoka chama pinzani,kama tu ilivyo hatari kuwa mpinzani hapa bongo,usipouwawa utalemazwa,au kupotezwa,tuna haja ya kulumbana?
Ni mbunge wa kujitegmea yaani hana chama
 
Back
Top Bottom