Bobi wine apamba moto. Je, Museveni ataweza zuia tsunami ya vijana?

Bobi wine apamba moto. Je, Museveni ataweza zuia tsunami ya vijana?

Mbondijr

Senior Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
184
Reaction score
355
Aisee Huu mchuano sio wa kukosa haya machama mawili yote yanaonekana kuukamia mchezo

Ukicheki chama la wanna (NUP) dhidi ya wakongwe (NRM) kila mtu yuko na energy na passion.

Hii ngoma naiona haiwezi amuliwa 90a u 120 minutes.

Hii ngoma naiona ikifika penalty
 
Back
Top Bottom