Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mgombea urais wa upinzani nchini Uganda Ssentamu Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine amepiga kura. Bobi alifika katika kituo cha Freedom Square Magere akiandamana na mkewe Barbie.
Bobi Wine wa chama cha NUP anakabiliana na rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni ambaye amekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 40.
Huyo mzee apumzike sasa!
Viongozi wa Africa ni wapumbavu sana. Ona hili zee akili zake