Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 1,357
- 3,114
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, ameshutumu nchi za Magharibi kwa kutokemea ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Yoweri Museveni.
Bobi Wine amedai baadhi ya viongozi wa mataifa ya Magharibi "wanahusika" na mateso wanayokutana nayo waganda kwa kuwa wanajali tu biashara zao nchini Uganda na kutokemea yale yanayofanywa na utawala wa Museveni.
Je ni sahihi kuwalaumu wengine kwa kutokemea maovu yanayofanywa na viongozi wetu?
CHANZO: JAMBO TV