Bobi Wine awasili Uganda apakizwa kwenye gari la jeshi

Bobi Wine awasili Uganda apakizwa kwenye gari la jeshi

FB_IMG_1537454818725.jpg
FB_IMG_1537454777856.jpg
 
Meet Lady Afande Kentalo Pamella who has been Spying on Hon Bobi Wine all the way from US to Amsterdam via Nairobi till Uganda .
Kampalafm.com
FB_IMG_1537454818725.jpg
FB_IMG_1537454781506.jpg
 
Wale ndugu zake m7 sasa hivi wana ugua tumbo la kuhara maana wanaona upepo wa uganda unaweza kuvumia Bongo
Power of the people is greater than the people in power -Qoute Bobi Wine.
 
Mbunge machachali wa uganda anaye mnyima usingizi m7 amerejea leo mchana akitokea usa kwenye matibabu amepokewa kifalme na wana uganda huku vikosi vya jeshi vikimchukua kwenye gari la kijeshi,haya ni maandalizi ya jinsi atakavyo pokewa LissuView attachment 872326View attachment 872327
Mtoa mada acha kupotosha watu hizo picha ni za matukio tofauti na hazina uhusiano na kurudi ka mh. Kyagulani hio ya kwanza illikua kipindi cha uchaguzi na ya pili illikuwa kipindi cha kurudisha raia wa uganda waliokuwa wakifanya biashara South Sudan bada ya wasudani kupigana wao kwa wao
Kingine kwaza alishikwa na Polisi na sio Jeshi, pili alipelekwa kwanza kituo kya polise kasangati kabla hawajampereka nyumbani kwake
 
Kwahiyo?
 
Back
Top Bottom