Bobi Wine kwa Wakenya: Defend your Constitution before it's too week to defend you

Bobi Wine kwa Wakenya: Defend your Constitution before it's too week to defend you

Haya, timu kasheku, kibajaji na kessy inabidi muhamie kenya mkamlazimishe bwana Ruto........hizo ni kiki zao tu hao wanasiasa, sidhani kama Ruto anayo mipango ya kibinafsi kama hiyo.
 
Jamaa kanogewa mapema mno,sijui kala vitu gani huko Ikulu,huku kwetu ni Mungu tu ndiye aliyetunasua
Naona na mke wake kaanzisha kanisa ikulu.

Ruto awe makini he gonna be the worst kuliko hata Kenyatta.

Wakenya watamchukia haraka sana.

Hivi Hawa Marais wa 5, wana tabu Gani huku kwetu alikuwa sio mtu yule aisee[emoji15]
 
Naona na mke wake kaanzisha kanisa ikulu.

Ruto awe makini he gonna be the worst kuliko hata Kenyatta.

Wakenya watamchukia haraka sana.

Hivi Hawa Marais wa 5, wana tabu Gani huku kwetu alikuwa sio mtu yule aisee[emoji15]
Aisee hatari
 

Attachments

  • 79191817-A5D1-47B8-8CC7-B57923D03130.jpeg
    79191817-A5D1-47B8-8CC7-B57923D03130.jpeg
    292.9 KB · Views: 7
Give them an inch and they will take a mile. Inaanza kama utani, mwishowe boom katiba imebadilishwa.
 
Don't worry about us, some things cannot happen in Kenya. We do not allow ourselves to be bulldozed.
 
Na Mwendazake alianzaga hivi hivi kwa Mambo Kama haya hapa [emoji116]

Kwahiyo mafunzo mapya na knowledge mpya kwenye training mbali mbali watakua kama Tanzania enzi ya magufuli? Halafu wasichofamu viongozi kuna issue ukifunga unafunga na uchumi kabisa wanakuja kustuka hali ni mbaya maana huwezi kujifungia ndani ukajenga uchumi, angalia masoko ya soya ilikua zambia sasa tumelidaka haya soko la parachichi lilikua kenya pekee sasa tumelidaka direct sababu ya kiongozi japo kutoka,
 
Soko la soya lishe na parachichi viongozi nyanda za juu kusini Ruvuma wanalima soya, mbeya na njombe parachichi wahamasishwe waongeze sasa kulima mashamba makubwa ili wafikie malengo ya soko, halafu watu wasilale wajitume sana
 
Sisi ndio mahustler hiyo hatutaki na haiwezekani na hatuwezi itikia hivo😳sisi ndio kusema👌
Ata Team Ruto"Kenya Kwanza"washakana hayo maneno!!
No Joking with term limits!!
Tulikataa Deepstate sababu ya maneno Kama hizo!!
 
Back
Top Bottom