Bobi Wine naye ni wale wale?

Ni watoto zake hao. Yeye bado yupo ulingoni. Bodyguard wake na msaidizi wamekamatwa na wataachiwa baada ya uchaguzi. Ana hofia familia yake itafanyiwa kitu kibaya ili aghairi uchaguzi. Bomu la mkono limewahi kurushwa ndani ya chumba cha mwanae. Ana haki 100% kuwasafirisha wanae nje ya nchi kabla ya uchaguzi.

NB: uwe unajifunza kufanya research kabla hujaandika au kuongea chochote. Thank me later!
 
Hayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!
 
Museveni kwisha habari yake
Habari yake haiwezi kumalizwa na check bob aka bob wine! Uganda ina wasomi wakubwa (inaongoza kwenye nchi za EA) wengi wenye uwezo mkubwa wa kuwa marais wa nchi hiyo wakati mwafaka utakapofika - na wakati mwafaka huo ni wakati Mu 7 atakapoachia nafasi hiyo kwa hiari yake au kwa maamuzi ya Muumba wake. Na kipindi hicho wala hakizidi miaka 10. Mu7 kaitoa mbali nchi hiyo na bado anaendelea kuipeleka mbali kimaendeleo; wenye akili wana muheshimu sana na wanakusubiri wakati huo muafaka. Hii micheck bob inapaswa kushughulikiwa.
 
Nilisikia kampeni zimesimamishwa Uganda kwenye miji mikubwa eti sababu ya Corona, Museveni anatetemeka sana, huyo Bobi anaenda kuchukua ile nchi hatanii, labda polisi ndio wamuokoe Museveni.
 
Tena kushulikiwa vibaya mna...h
Km huyo bobi wine ni cocaine zinamwendesha
 
Kudos
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…