Bobi Wine naye ni wale wale?

Ila watoto na wake wa wenzie ndio wanastahili kufa?
 
Ni nani atawaokoa watoto wa wafuasi wake?tafakari
 
Watu wanasafirisha tu wake zao kama wanaume walivyo wasafirisha Lisu na Lema.
 
Ilimtengenezea passport??? Sidhan km alikua Hana passport.
 
Hayo ya kurushiwa bomu (kopo) chumbani kwake kayasema yeye sawa tu na yale aliyosema Tundu Lissu ya kupokea simu kutoka kwa asiyejulikana akimtishia kuondoa uhai wake!
Inaonekana haufuatilii siasa na matukio kwa yale yanayoendelea Uganda ndugu, hilo tukio picha zake zilizagaa mitandaoni.

Mfano watch this clip👇uone jamaa anavyopata dhoruba.

Your browser is not able to display this video.
 
Yaani unataka uwe rais wakati familia yako iko ng'ambo? Watakuwa wendawazimu watakao kupa nafasi hiyo!
Hivi urais ni wa familia au muhusika? Watotowake ndio watakuwa mawaziri au? Presidency is about yeye. Sio familia yake.
 
Ni kweli sikatai Rais Museveni anaweza kuwa na Matatizo ( Mapungufu ) yake ila na huyu Mpinzani wake Bobi Wine anatumika vibaya na Wahuni.
The biggest lie the devil has ever pulled ni kuwa convice watu kuwa he doesnt exists.
The same tacticts inatumika na african politicians... kuwa convice watu kuwa kila mpinzani anatumika.

That is biggest bullshit ever.
 
Ila watoto na wake wa wenzie ndio wanastahili kufa?
Thats not his concern. Kila mtu ana right ya ku protect familia yake kwa uwezo wake anao jua yeye.
You cant save everybody. Na si dhambi kupeleka familia yako nje.. si ushamba.
 
ccm hawanaga akili hiyo, wasamehe
 
Amekurupuka!! atakuwa alikula maharage ya mbeya!! hajui hata kinachoendelea!!
 
..Pia tuliambiwa Acacia watatulipa usd 191 billion na kila Mtz atapata gari Noah.

..Nalo litatimia lini?
Walinifanya nikaenda NIT kupata mafunzo ya udereva ili nikipatiwa Noah yangu ma traffic wasinisumbue
 
Uwezo wa Bobi ni mkubwa kuliko Museveni, na hata elimu yake inamruhusu. Hivi karibuni Bobi alihojiwa na BBC uso kwa uso ndipo alipoonesha uwezo wake wa siasa na kujibu anachoulizwa.
Umewahi ona wapi duniani dikteta yeyeto akawa na reasoning capacity.
Mtu mwenye akili hawezi ua mtu,ibia wananchi, kuabudiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…