Bobi Wine naye ni wale wale?

Nimekwambia hakuna upinzani ndo mana M7 anamsogeza mwanae akiachia?,Kwahiyo Uganda president awe Bobbi Wine?
Kuwa na akili M7 kumrudisha huyo dogo Hiyo nafasi ana lake jambo. Alishashika hiyo nafasi before,akapewa uwaziri akarudishwa CDF yupo Besigye Kiiza, naye fala tu, huyu Bobbi ni mvuta bangi tu aliyestaafu,then unategemea wamtoe M7 revolutionary hero wa Uganda unaota.
 
We naye cjui umekariri wapi!! Who is Muhoozi btw? Kafika pale sababu ya kubebwa na babake but he's overrated. Nipe successful mission yake hta moja zaidi ya kutumika tu kuua powerful generals waliotishia himaya ya M7.

BTW baada ya mafuriko ya Bobi Wine huko Ankole regions huyo Muhoozi alianza kulialia Twitter kwamba kabila lake lisimchague Bobi. Toka lini kiongozi wa special forces ukapiga campaign za kichama?
 
Ukisema hakuna wapinzani unamaanisha nn labda? Kwahiyo Uganda hakuna mtu zaidi ya mwanae. kusoma na Kagame maana yakr nn? Acha ujinga wewe. Nchi sio ya mtu mmoja. Kama alikuwa analijua hilo kwanini alikuwa anakandamiza upinzani.
 
Ukisema hakuna wapinzani unamaanisha nn labda? Kwahiyo Uganda hakuna mtu zaidi ya mwanae. kusoma na Kagame maana yakr nn? Acha ujinga wewe. Nchi sio ya mtu mmoja. Kama alikuwa analijua hilo kwanini alikuwa anakandamiza upinzani.
We fala sipotezi muda kubishana hapa
 
Yaani unataka uwe rais wakati familia yako iko ng'ambo? Watakuwa wendawazimu watakao kupa nafasi hiyo!
Una elimu gani wee mataga mtu familia imekoswa koswa bomu afu utaki achukue tahadhari akiwa raisi si atakua ikulu ana ulinzi so familia itakuja,,
 
Bora shule zifunguliwe urudi shuleni maana Waziri alisema marufuku watoto wa shule kuwa na simu shuleni. Nasikia mnafungua kesho ee?
Tunazo tunaficha darini
 
Alikuwa na passport iliyokwisha muda wake. Maafisa wa Wizara ya mambo ya nje ndio wenyewe wamepeleka nyaraka hizo ubalozi wa Ujerumani.
Hii inaonyesha jinsi Lissu alivyo smart kuliko wabaya wake wajinga wanaotumia nguvu kuliko akili.
Angebaki sasa
 
Kwa maelezo haya huwa nashangaa nikisikia mpinzani wa bongo anasema ananyanyaswa
 
Watanzania bwana wana upendo sana na jirani zao
Yao yanawashinda wamehamia kutetea majirani

Ajabu majirani hao sijawasikia wakiwatetea wao
 

kesi ni za uongo
 
Bomu la mkono lirushwe chumbani afu mtoto abaki salama why nyumba haikubomoka. Sometimes mtumie akili hata kidogo basi

Kasome kuhusu stun grenade. Mimi sipo hapa kiushabiki ndugu yangu. Jifunze kufanya research kabla ya kuandika kitu kitakachoweza kushusha heshima unayopewa na watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…