babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Nimekwambia hakuna upinzani ndo mana M7 anamsogeza mwanae akiachia?,Kwahiyo Uganda president awe Bobbi Wine?Wewe ni mtu umeenda shule kabisa babako akalipa ada kabisa n akajiridhisha pesa yake haikupotea kabisa. Yani m7 ampe mwanae kuongoza nchi? Uganda hakuna wengine zaidi ya mwanae. Mtu kakaa madarakani toka 1986 leo amwachie mwanae nae apige mpaka 2090 huko au [emoji23][emoji23][emoji23]
Mawili either Rudi shule au kadai ada yako. ni akili za punguani tu anayeweza kufikiria hili.
Kuwa na akili M7 kumrudisha huyo dogo Hiyo nafasi ana lake jambo. Alishashika hiyo nafasi before,akapewa uwaziri akarudishwa CDF yupo Besigye Kiiza, naye fala tu, huyu Bobbi ni mvuta bangi tu aliyestaafu,then unategemea wamtoe M7 revolutionary hero wa Uganda unaota.