Bobi Wine naye ni wale wale?

Kasome kuhusu stun grenade. Mimi sipo hapa kiushabiki ndugu yangu. Jifunze kufanya research kabla ya kuandika kitu kitakachoweza kushusha heshima unayopewa na watu!
Kwahiyo walitumia Stun Grenade kwa lengo gani?
 
Nilisikia kampeni zimesimamishwa Uganda kwenye miji mikubwa eti sababu ya Corona, Museveni anatetemeka sana, huyo Bobi anaenda kuchukua ile nchi hatanii, labda polisi ndio wamuokoe Museveni.
Hata hapa tz Polisi waliokoa, waongo kama Bashiru wanasema eti mabalozi wa nyumba kumi wamesababisha ushindi, wenyewe hawana habari!!!!
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] jamaa Ni big brain
 
Jf bwana unaweza kuona kakijana ka miaka 24 kanakuita mtoto
Pengine hili litakufanya uelewe unaongea na nani. Nina miaka 10 mbele yako hapa JF hivyo natambua utoto wako
 
Kwani Bob wine anatatizo gani ..?? Unaweza ukatoa sababu za msingi ambazo zinatoka ndani ya katiba ya Uganda zinazo pinga Bob wine kuwa raisi wa Uganda !? Hana elimu stahiki !? Hana thinking capacity ya kutosha .. jambazi " muhaini..au anatatizo gani ambalo wewe mwenzetu unalijua na sisi hatulifahamu .. tufahamishe Basi !!!

Au unachukulia kuwa kutokana na yeye kujihusisha na kazi ya Sanaa ya music Basi ndio hastahiki kuwa raisi wa nchi " Kama mawazo yako yatakuwa ndio yanawaza hivyo Basi itakuwa hauna akili timamu kwa sababu mziki pia ni Elimu inayopatikana kwenye somo la sanaa ..mziki umetumika Kutoa ajira kwa vijana wengi na Ni sekta Pana Sana ambayo inachangia Pato la taifa kwa nchi mbali mbali .. kuanzia kwa producers . artist . distributors.Media .Mpaka costumers ... So waweza kuona kuwa alichokuwa ana kifanya Bob wine ni kitu sahihi Ambacho kinatoa msaada mkubwa Sana ktk jamii

Haya hebu tuambie Sasa kinacho kufanya umuone Bob wine hapaswi kuwa raisi wa Uganda Ni kipi !?? Toa hoja yenye logic tafadhali
 
[emoji16][emoji16][emoji16] kwanza kiongozi wa kiserikali inakuwaje unatumia matabaka ya kimakabila kubagua watu wengine ktk taifa !?
 
Atakuwa anawapeleka wapi? Ubelgiji pia? Atakuwa Kama wale wengine.
 
Sasa kwa akili zako za ufipa unadhami huyu mvuta bang anaweza kuwa rais wa Uganda
 
Raia mna tabu nchi akabidhiwe bob hahah
 
[emoji16][emoji16][emoji16] kwanza kiongozi wa kiserikali inakuwaje unatumia matabaka ya kimakabila kubagua watu wengine ktk taifa !?
Alishangaza sana watu, huku tunasema CCM ni chama dola ila NRM ni zaidi ya chama dola. Yaani mtu ni Generali kabisa wa jeshi ila anavaa T shirt za chama tawala na anapiga kampeni jukwaani.

Huko M7 ataondoka siku wananchi wakiingia barabarani ila hizi kura ni kujidanganya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…