T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Kwahiyo walitumia Stun Grenade kwa lengo gani?Kasome kuhusu stun grenade. Mimi sipo hapa kiushabiki ndugu yangu. Jifunze kufanya research kabla ya kuandika kitu kitakachoweza kushusha heshima unayopewa na watu!