Bobi Wine naye ni wale wale?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huna ujualo mkuu! Unaongelea mambo ya Kabaka wa miaka ya 1800 uliesoma kwenye history ya form 4?

Ni kwamba M7 kamuweka mwanae ndio mkuu wa kikosi maalumu katika jeshi la uganda na kikosi hicho ndio kicho husika na ulinzi wa rais M7. Kwa hatua hiyo hayo ni maandalizi ya Museven kumwachia madarka mwanae.

Itafika hatua Museven atachoka kimwili na kiakili kisha wataunda zengwe na mwanae ili mwanae ajifanye anampindua babaake na hapo ndio mchakato wa kupasishana urais utakapofanyika.

Bobi yule washabiki wake wahuni kama wale wale wanaojazana kwenye matamasha ya muziki wa Diamond tu. Na si ajabu hata kupiga kura hawaendi.

Ndio kusema Lisu na Bobi wine hawatofautiani.
 
Umemshushua kwa timing ya hatari mkuu! Mijitu mingine mikurupikaji hadi kero!!!!
 
Pumba tupu wapigania uhuru wengi wa kusini mwa Africa walipewa hifadhi morogoro na sehem zingine kwann waliongoza mapigano huku familia zao zikiwa nje ya nchi zao jiulize kwanza afu uone utopolo uliopost
"Kalale nacho" mkuu. Au unataka kuanza "kuchezesha" tena!?
 
Hujui kabaka ni title. Ipo mpaka kesho kwa taarifa yako. Sio kabaka tu. Uganda ina kingdoms tofauti. Teso mojawapo. Tembea wewe ujionee dunia na yaliyomo. Kama.huwezi google basi mpuuzi mmoja wewe.
 
Yaani unataka uwe rais wakati familia yako iko ng'ambo? Watakuwa wendawazimu watakao kupa nafasi hiyo!
Wewe sio Mganda, hayakuhusu na huna haki ya kuwaamulia chochote!
 
Hujui kabaka ni title. Ipo mpaka kesho kwa taarifa yako. Sio kabaka tu. Uganda ina kingdoms tofauti. Teso mojawapo. Tembea wewe ujionee dunia na yaliyomo. Kama.huwezi google basi mpuuzi mmoja wewe.
Sasa usinitolee mimi hili povu lako la hasira hapa!

Kwa taarifa yako huyo Bob wako hatapata hata 20% ya kura kama alivyokuwa Lisu tu. Kama vipi nenda kampigie kura ili umsaidie.

Hii michezo ina wakongwe wao na wakongwe wenyewe ndio hao kina M7.

Sasa subiri na omba Mungu ukupe uhai uone hili goma likatavyochezwa hadi anakuja kupatikana mrithi wa Museven huko Kampala.
 
Inategemea na katiba
Inategemea yao inasemaje

Mbona hata sisi zamani tulikuwa na siasa majeshini
Sasa wkt wa chaguzi huwezi chukua upande. Yaani Una Mkuu wa majeshi uwe na kadi ya chama afu ukipigie kampeni muda huo huo usimamie ulinzi wkt wa uchaguzi huku uko biased?

Katiba inatoa provision hadi ya wao kuwa wabunge na kupewa wizara but kupiga kampeni?! Ni kuvuka mipaka to be honest.
 
Reactions: T11
Hilo bomu halina tofauti na majambazi waliyomvamia Mbowe na kumuumiza jelaha moja mguuni tu tena kwa nyuma.

Siasa za kipuuzi sana hizo
 
Usiruke ruke kama bisi. Umesema kabaka yuko 1800s sio. [emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe hujui kitu kaa kimya wewe. Utachekwa.
 
Usiruke ruke kama bisi. Umesema kabaka yuko 1800s sio. [emoji23][emoji23][emoji23]. Wewe hujui kitu kaa kimya wewe. Utachekwa.
Sasa kama mtu unatukana hovyo hivi mbele ya watu tena unataukana mtandaoni alafu unatukana mtu usiemfahamu utajua lolote kuhusu siasa za Uganda kweli? Achilia mbali hizi za hapa kwetu?
 
Reactions: T11
Sasa kama mtu unatukana hovyo hivi mbele ya watu tena unataukana mtandaoni alafu unatukana mtu usiemfahamu utajua lolote kuhusu siasa za Uganda kweli? Achilia mbali hizi za hapa kwetu?
Wapuuzi ni wengi huku mitandaoni mmojawapo ni wewe. Watu wanapojadili kitu msilete mihemko yenu humu kwakuwa mna id za siri. weka facts tubishane. Mtu hujui lolote unaleta ubishi tu kipuuzi. Matusi ndo tiba yenu.
 
Wapuuzi ni wengi huku mitandaoni mmojawapo ni wewe. Watu wanapojadili kitu msilete mihemko yenu humu kwakuwa mna id za siri. weka facts tubishane. Mtu hujui lolote unaleta ubishi tu kipuuzi. Matusi ndo tiba yenu.
Matusi ni kimbilio la wajinga wengi wanaoshindwa hoja.

Sasa kama unafikiri M7 ataachia madaraka kwa matakwa ya huyo Kabaka wako wewe ni hopeless
 
Kwa akili yako hii hakuna haja ya sheria, katiba na utaratibu katika nchi., means mnajiwekea utaratibu alafu mmoja anauvunja kisa ametoka mbali na nchi hiyo, maana yake nini?

Hilo ndilo tatizo alilotaka kulileta mjombako Trump pale marekani mwishowe hata waliowake wamemchoka.

"Hakika Afrika bado tunatakiwa kutawaliwa."

 
Sasa usinitolee mimi hili povu lako la hasira hapa!
Naona leo umeumbuka..... Tatizo lenu hamna exposure eti Kabaka mambo ya 1800!! Hehehehe kwanza ikulu haipo kampala ila Entebbe sasa cjui hyo kampala kuna mrithi wa nini?

We baki kwenye siasa za lumumba hapo mambo ya nchi za watu huyawezi zaidi unajichoresha tu.
 
Kwa sababu hujui lolote ulisema kabaka ni stories za 1880s huko. Sasa zinakuwasha nn? Kwani kukubali hukui kitu inakucost nn? Hiyo m7 pamoja wa ujanja wote anawaheshimu kings wa makabila yote uko wewe mpuuzi uko tandahimba huku unajambajamba tu hapa.
Una hasira sana dogo! Acha mihemuko hiyo na hao unaosema machief wengi ni stori za miaka ya 1800 kama ulivyosoma kwenye history ya form 4.

Hao unaowasema ni wako very weak na hawana lolote la kumwambia Museven na hawana msaada wowote kwa huyo Bobi wako.

Na nimeshakwambia huyo Bobi wako kama ilivyokuwa kwa Lisu hatafikisha hata 20% ya kura zote.

Watu wako kwenye utawala wa kidola wewe unakuja na stori za machief kina Kabaka? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205][emoji205]Kweli wewe
 
Kwahiyo Kabaka ana nguvu sana hapo Uganda eti?

Kwani kutaja kampala ni lazima ikulu iwe huko?

Kama huyo Kabaka wana lolote mbona M7 anajitawalia Uagnda apendavyo tena sasa ndio ameanza maandalizi ya kumuweka mwanae kwenye madaraka huku wao Kabaka wapo?

Mkuu Kabaka ni stori za miaka ya 1800 walipokuwa na nguvu sasa hivi wote wako mfukoni mwa M7 hawana la kusema.
 
Nimekaa uganda zaidi ya miaka 15. nmesoma uganda najua siasa za kule. Unanipotezea muda hujui lolote bye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…