Bobi Wine's message to Museveni about giving money to Ghetto Yuti

Bobi Wine's message to Museveni about giving money to Ghetto Yuti

Great speech! Imenikumbusha hotuba za Martine Luther Jr.Watesi wa Bone Wine wanajuta kutommaliza ktk 18 zao! Ni somo zuri kwetu pia,mwenzio akinyolewa tia maji.Tudai katiba bora.Long live Bobe Wine
 
Mseven is now restless, Bobi Wine anamshughulisha balaa
 
mu7 kwisha habari yake, nyuma ya bob kuna mq chekibobu wengi
Majeshi ya museveni yalikyiko somalia ameanza kuyarudisha battle hardened soldiers. Hakuna cha jabuanyi wala boby wine,halafu na sisi tutamsaidia na wanyarwanda hawatabaki nyuma.
 
Nipatie mkuu niijue, ila nnachojua ameingia madarakani 1986, kwa mtutu wa bunduki
Baada ya Obote Uganda ilifanywa uwanja wa fujo mpaka tulipoingilia na kumrudisha Obote tulipoondoka vurugu zikatokea tena vita vya wenyewe kwa wenyewe mpaka tulipomsimika Museveni Uganda ikawa Shwari mpaka walipogundua mafuta ndio unaanza kusikia sijui jabulanyi sijui nini.
 
Umesema historia ya Uganda kwa kumuita Mseven "guerrilla fighter"! Ebu soma hapa chini kidogo[emoji116]
Screenshot_20180915-152436.jpg
 
halafu na sisi tutamsaidia

Unaposema na sisi tutamsaidia una maana gani? Sisi meaning jeshi la Tanzania? Kuna justification gani kwa sisi kwenda kupigana Uganda kwa mara ya pili ili hali Waganda wenyewe wanaweza kumuondoa nduli wao!!! Tulipigana mara ya kwanza kuwakomboa kwasababu Amin alivamia nchini mwetu!!!This time aound hatuna nia wala sababu kwa vijana wetu kwenda huko.
 
Back
Top Bottom