Bobrisky Amwanika Boyfriend wake Billionare

Bobrisky Amwanika Boyfriend wake Billionare

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Shoga Maarufu kutoka pande za Nigeria [emoji1184], Idris Okuneye maarufu kama BOBRISKY, leo amewashangaza followers wake karibia mil 2.7 baada ya kumpost mtu aliyesema kuwa ndiye boyfriend wake , na kuzua tafrani ya aina yake kwenye ukurasa wake wa Instagram .

Ni miaka mingi shoga huyo mwenye pesa chafu amekua akimficha mpenzi wake hali iliyozua sintonfaham, Kwan wadau wengi wa ubuyu walipenda kumjua the man behind her lavish life style , hatimaye shoga huyo mwenye kashi kashi za aina yake leo kaamua kutupa maji ya uzima wapenda ubuyu..

Ila shoga nae si alisemaga he only dates old rich men , mbona huyu nae king’ast tu ? Isije ikawa kiki maana kidawa nae anapenda kiki kuliko Gigy

Haya hongera zake, ila mi najua tu bobrisky hana relationship , ni mdangaji tu
IMG_5381.jpg

IMG_5376.jpg
 
Back
Top Bottom