Bobrisky avutiwa na Diamond Platnumz

Bobrisky avutiwa na Diamond Platnumz

Haya mambo haya basi tu.
Kuna spiritual reasona why rich and famous men fu** their fellow men.
Ni kama ibada flani anachukua nguvu kutoka kwa huyo anayemfuck
Hii kitu nimeisikia sikia sio mara moja wala mara mbili. Vitu vinatisha asee
 
Sijui walianzanaje ila bob anasema tonto anapenda kumkopa pesa na harudishi
Ha ha ha...Bob ana visa jamani[emoji23]hivi hizo hela anazipata wapi jamani?

Tonto naye akamwambia eti alikuwa hajui kuvaa... Yeye ndiyo kamfundisha. Alikuwa anavaa Ma'disigner Clothes fake...[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bob mtafutaji bhana, sema gays marafiki wao wengi wanawake, tatizo hao wanawake wanapenda sana kusaidiwa, afu njia yao rahisi ni kukopa uwiiiih.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
ila tonto alimchamba anasema kuna kipindi bob alikuwa anatoa harufu huko nyuma
Ilikuwa aibu
Mambo ya pesa sijui maana maisha ya insta bana
 
Ni mtafutaji kweli.. ila kwa Ugawaji ule wa hela... Mmmmmmmh!!!!!

Hata tajiri Tony Elumelu hana michezo hiyo[emoji3]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kucha zile lazima awe anatoa harufu, usafi was kina anafanyaje? Kingne kinachangia kubadilisha wanaume lazima harufu itokee.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ni mtafutaji kweli.. ila kwa Ugawaji ule wa hela... Mmmmmmmh!!!!!

Hata tajiri Tony Elumelu hana michezo hiyo[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan Bob si udangaji na biashara yake ya nguo. Hana hata cha maana. Ndo maan pesa anagawa hovyo na show off tyuuh. Hana uchungu nazo.

Mtafutaji was kweli ni Somizi, sema naye kibenten wake Mohale anamkwamisha mno, angekua mbali sanaa uwiiiih.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
ila tonto alimchamba anasema kuna kipindi bob alikuwa anatoa harufu huko nyuma
Ilikuwa aibu
Mambo ya pesa sijui maana maisha ya insta bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini kunichekesha namna hii Dina?

Ila Bob Ugomvi hauwezi kabisa.. Labda akutane na size yake.
Nakumbuka Mwanzo wa Ugomvi walimwambia kabisa achana na Tonto yule haongei ila siyoo..Bob akashupaza shingo[emoji2]
Tonto alivyoanza sasa!!! Wanaiger wakaanza kumtuliza[emoji2]Na ile English yao..Then Tonto akammaliza na moja tu ikawa lala salama...Bob akaanza kuandika mavitu yasiyoeleweka wala kuisha[emoji2]

Unajua kwenye ugomvi shoga hasapotiwi ujue,shoga anakataliwa kila sehemu anatengwa ndio maana huonaga mashoga wanajitenga tenga tuna kujificha ficha
 
Back
Top Bottom