Bobrisky, The famous and rich Gay in Nigeria

1569315451666.jpeg

Usidanganyike na photo shop huu ndiyo uhalisia wake
 
Jina lake la kuzaliwa ni Okuneye Idris mzaliwa wa Lagos Nigeria

Lakini jina lake maarufu mitandaoni ni "Bobrisky" huyu ndo malkia maarufu sana huko snapchat na pia instagram anayetrend sana

Huyu ni mwanaume lakini ukimtazama ameamua kujibadilisha na kuwa kama mwanamke

Huyu ndo shoga tajiri zaidi africa akimiliki magari ya ghali zaidi majumba ya kifahari na biashara za vipodozi,mawigi na kope

Aliwahi kusema kuwa yeye anatoka na tajiri maarufu zaidi Africa lakini siku zote amekua akijiepusha kumuanika mpenzi wake hadharani

Pia inadaiwa mama yake mwanzo alikua akipinga hatua hiyo ya mwanae lakini hivi sasa amekua akimsapoti kila hatua ya mwanae

Huyo ndo bobrisky shoga tajiri zaidi Africa View attachment 1214831View attachment 1214832View attachment 1214833View attachment 1214834View attachment 1214835View attachment 1214836View attachment 1214837View attachment 1214839View attachment 1214843
Shwetani mkubwa..
 
Dume dume tu hata ajibadilishe vp atabaki kuwa mwanaume
Uso umemkomaa balaa

PAMBAFUU
 
Ni mwanaume huyo ukiona safari yake ya kujibadilisha hivyo utachoka na alionyesha hata hayo maziwa bandia unavaa kama vest tu mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni mwanaume hayo maziwa na kifua mbele katoa wapi

Aisee, huyo ni mwanamke kabisa, hakuna kidume wa hivo, tupia picha akiwa kavaa kiume tuone
 
Back
Top Bottom