Bobrisky, The famous and rich Gay in Nigeria

Bobrisky, The famous and rich Gay in Nigeria

mleta mada....nia na dhumuni lako ni kuupa airtime ushoga au???maana v2 vngine huwa havina maana kuvileta uku...
 
Jina lake la kuzaliwa ni Okuneye Idris mzaliwa wa Lagos Nigeria

Lakini jina lake maarufu mitandaoni ni "Bobrisky" huyu ndo malkia maarufu sana huko snapchat na pia instagram anayetrend sana


Huyu ni mwanaume lakini ukimtazama ameamua kujibadilisha na kuwa kama mwanamke

Huyu ndo shoga tajiri zaidi africa akimiliki magari ya ghali zaidi majumba ya kifahari na biashara za vipodozi,mawigi na kope

Aliwahi kusema kuwa yeye anatoka na tajiri maarufu zaidi Africa lakini siku zote amekua akijiepusha kumuanika mpenzi wake hadharani

Pia inadaiwa mama yake mwanzo alikua akipinga hatua hiyo ya mwanae lakini hivi sasa amekua akimsapoti kila hatua ya mwanae

Huyo ndo bobrisky shoga tajiri zaidi Africa View attachment 1214831View attachment 1214832View attachment 1214833View attachment 1214834View attachment 1214835View attachment 1214836View attachment 1214837View attachment 1214839View attachment 1214843
Mja wa laana
 
Na wewe unataka kufwata nyayo zake?

Mtu yoyote anaeongelea habari za mashoga ana walakini,either ni mmoja wao au anatamani kuwa kama wao
Mmmmh nyinyi mnao oppose motion ndio moto wa kuotea mbali...Lijamaa lina mke Mikocheni limepangia shoga Mtongani.
 
Hawa ndo wale watu ambao wana moto wao special jehanamu

Ntaomba kazi ya kuchochea kuni na ziwe za chuma !
 
Mmmmh nyinyi mnao oppose motion ndio moto wa kuotea mbali...Lijamaa lina mke Mikocheni limepangia shoga Mtongani.
Screenshot_20190822-200548~2.jpeg
 
Heavens forgive him!! I wonder how ashamed he has made his ancestors.! If I was his father, I would rather die on an electric chair than watch this...
 
DID YOU KNOW?
Huyu jamaa wanamuita james charles anavyosema yy ni gay but virgin na atakufa virgin .ni maarufu sana kwa kujipiga makeup huko mitandaoni hasa youtube .
Yani yeye mwenyewe tu anajipamba kama mwanamke
Mm nmemfollow kwa ajili ya Makeup ...yupo mwingine anaitwa Tokyostylez anawapamba akina kim na kiwavesha mawigi
 
Back
Top Bottom