Bocco mkosa penalti anakuaje mchezaji wa mwezi?

Taso

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2010
Posts
2,507
Reaction score
2,412


kuna kitu kinaitwa clutch moment, kinawahusu sana wachezaji wakubwa, wanaolipwa hela nyingi kwenye timu, ma kapteni n.k.

clutch moment ni ule muda mahsusi ambao timu yako inakutegemea ufanye mambo makubwa

huyu mtu kakosa penalti iliyoua momentum ya Simba dhidi ya TP Mazembe uwanja wa nyumbani, kabla ya kwenda kupigwa goli kumi kule Zambia...

anakuaje mchezaji wa mwezi anaepamba kurasa za habari na forums?

kwa nini Watanzania huwa tuko comfortable na kushindwa shindwa? tufike mahali tukatae mediocrity
 
Watu wengine huwa mnatafuta matusi kwa lazima.

Hiyo penalti ilikuwa dhidi ya Lipuli, Coastal Union, Mbeya City au Madini Fc?

Na huko Zambia Simba alipigwa na timu gani goli 10.
 
Si kila mtu lazma awe shabiki wa mpira wa miguu wengine mnaweza shabikia kikapu volleyball rede au mdako mpira unahitaji MTU anayefatilia si kama mleta mada sjui unaleta takwimu za CAF wakat wenzio wanazungumzua TPL
 
Mkuu nadhani kuna kitu ulitaka kuandika vzr but few minutes ukapandwa ha hasira ghafla ukaaribu your day,tulia [emoji1]
 
Kampe mmeo uo uchezaji Bora wa mechi
 
Chief kabla ya kuleta uzi huu kwanza kujua hizo tuzo huwa zinaangalia vigezo vipi?
 
Was mwezi huu atakuwa okwi wakati ule mlikuwa mnapata sababu Simba ilikuwa haichezi
 
Ni mashindano gani Simba walifungwa magoli 10 huko Zambia?
Si lazima ushabikie kama hufuatilii
 
Ni mashindano gani Simba walifungwa magoli 10 huko Zambia?
Si lazima ushabikie kama hufuatilii

ni baada ya Bocco kukosa penalti na ushindi hapa bongo na Simba wakapoteza momentum and morale, walioenda Zambia wakafungwa tano...

kuna tofauti gani kati ya kufungwa tano na kumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…