Bocco mkosa penalti anakuaje mchezaji wa mwezi?

Bocco mkosa penalti anakuaje mchezaji wa mwezi?

ni baada ya Bocco kukosa penalti na ushindi hapa bongo na Simba wakapoteza momentum and morale, walioenda Zambia wakafungwa tano...

kuna tofauti gani kati ya kufungwa tano na kumi?
Simba msimu huu hawajafungwa na timu yoyote ya Zambia magoli 5 au 10,siwezi bishana na ww mana unaonekana hata siyo mfuatiliaji umejawa na ushabiki mandazi
 
11837267547655219047

kuna kitu kinaitwa clutch moment, kinawahusu sana wachezaji wakubwa, wanaolipwa hela nyingi kwenye timu, ma kapteni n.k.

clutch moment ni ule muda mahsusi ambao timu yako inakutegemea ufanye mambo makubwa

huyu mtu kakosa penalti iliyoua momentum ya Simba dhidi ya TP Mazembe uwanja wa nyumbani, kabla ya kwenda kupigwa goli kumi kule Zambia...

anakuaje mchezaji wa mwezi anaepamba kurasa za habari na forums?

kwa nini Watanzania huwa tuko comfortable na kushindwa shindwa? tufike mahali tukatae mediocrity
Una chuki binafsi na kaptein sio bure, na hutokuja mpenda john bocco maisha yako yote, akina ronaldo, messi, neymar, wanakosa penati sembuse bocco, emu kuwa na heshima mkuu. Kama humpendi mtu kaa kimya kuliko kuonesha chuki waziwazi
 
ni baada ya Bocco kukosa penalti na ushindi hapa bongo na Simba wakapoteza momentum and morale, walioenda Zambia wakafungwa tano...
kuna tofauti gani kati ya kufungwa tano na kumi?
Umesahihishwa lakini bado haubadiliki.Weye ni mzigo.
 
Back
Top Bottom