Bocco mkosa penalti anakuaje mchezaji wa mwezi?

ni baada ya Bocco kukosa penalti na ushindi hapa bongo na Simba wakapoteza momentum and morale, walioenda Zambia wakafungwa tano...

kuna tofauti gani kati ya kufungwa tano na kumi?
Simba msimu huu hawajafungwa na timu yoyote ya Zambia magoli 5 au 10,siwezi bishana na ww mana unaonekana hata siyo mfuatiliaji umejawa na ushabiki mandazi
 
Una chuki binafsi na kaptein sio bure, na hutokuja mpenda john bocco maisha yako yote, akina ronaldo, messi, neymar, wanakosa penati sembuse bocco, emu kuwa na heshima mkuu. Kama humpendi mtu kaa kimya kuliko kuonesha chuki waziwazi
 
ni baada ya Bocco kukosa penalti na ushindi hapa bongo na Simba wakapoteza momentum and morale, walioenda Zambia wakafungwa tano...
kuna tofauti gani kati ya kufungwa tano na kumi?
Umesahihishwa lakini bado haubadiliki.Weye ni mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…