toponyondo
Senior Member
- Dec 27, 2018
- 169
- 94
Shabalala aliupiga mwingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee! Haya mambo ya Juju Afrika yanachanganya sana. Yaani kuna siku unaona Okwi hawezi kabisa na kuna wakati anafanya maajabu.Ila nina wasiwasi pale Simba kama wanapigana misumari ya moto, wachezaji ni talented lakini sio continuously... Yaani kuna kipindi haya majembe yanakuwa floppy ndani ya msimu, tofauti na wachezaji wa Ulaya.
Hakuna simba asiye na Mkia!!mikia tu hao.
Niyonzima apewe nafasi maana aliwashangaza mpaka wapinzani wetu Vita.Huyu bwana koli bali ni hatari sana mzee wa krosi. Ila kocha inabidi amfikirie bwana haruna. Ameonyesha kiwango kizuri sana. Akizidi kupewa nafasi kama kolibali atakua moto wakuotea mbali.
Kocha pia huwa tunamdis na kumkosoa as if we are technical team but na makosa yake hivyo hivyo katufikisha robo fainali. Tuwe wavumilivu, no one is perfect!Hata mm huwa sielewi, lakini tulibishana na mtu mmoja why Mzamiru aanze badala ya Niyonzima? Nikaambiwa eti Mzamiru anasaidia kukaba, Nikajiuliza Niyonzima hakabi?? Lakini mechi dhidi ya Soura & Na Vita nadhani Mwalimu ampe priority Niyonzima!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeona kiwango cha Niyonzima hakuna shaka ktk hilo,siku ile Simba ilikuwa ktk uhitaji wa kutafuta goli bila kuogopa kama watafungwa au lah,ktk hali ile kiungo mwenye asili ya kushambulia kama Niyonzima atakupa kitu,lakini ikitokea mnapambana na timu inayomiliki na kusukuma kwenu tu mtahitaji kiungo mwenye uwezo wa kukaba/kuzuia.Sergio Busquet na Ngolo Kante wa Chelsea ni mfano wa Viungo wakabaji, Iniesta ni mfano wa viungo washambuliajiHadi hapo mm huwa sielewi ila kwa sasa nahisi watu wameona mpira wa Niyonzima na kocha kaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichosema ni sahii kabisa, unajua aina ya wachezaji unaowatumia kwa kila mechi inategemea sana aina ya team unayocheza nayo, na target ya team katika mchezo husika. Kwa mfano unapocheza ugenini definitely utahitaji kujilinda zaidi, kwahiyo utachezesha viungo wengi wakabaji badala ya viungo washambuliaji.Kwa kesi ya Niyonzima ambaye by nature yeye ni kiongo mshambuliaji, yeye ana bahati mbaya kwamba Kuna Triple C ambaye anaaminiwa zaidi na kocha, na ana impact zaidi kwa team pale anapopata nafasi.Pia Shida ya Niyonzima kwa wakati tuliopo ni kwamba impact yake ni ndogo kwa team ukilinganisha na Chama pale anapopata nafasi. Nitakupa mfano kuna baadhi ya mechi za ligi Niyonzima uwa anapewa nafasi ya kuanza, ila performance yake inakuwa very minimum kumshawishi kocha kumuanzisha kwenye international matches.Tumeona kiwango cha Niyonzima hakuna shaka ktk hilo,siku ile Simba ilikuwa ktk uhitaji wa kutafuta goli bila kuogopa kama watafungwa au lah,ktk hali ile kiungo mwenye asili ya kushambulia kama Niyonzima atakupa kitu,lakini ikitokea mnapambana na timu inayomiliki na kusukuma kwenu tu mtahitaji kiungo mwenye uwezo wa kukaba/kuzuia.Sergio Busquet na Ngolo Kante wa Chelsea ni mfano wa Viungo wakabaji, Iniesta ni mfano wa viungo washambuliaji
Sent using Jamii Forums mobile app