Boda boda Dodoma acheni ushamba

Kibwetelo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2018
Posts
732
Reaction score
599
Nipo naangalia msafala wa magari ya msiba ila bodaboda Dodoma washamba sana kushobokea camera kama hawajawahi kuiona mpaka kero
 
Mimi pia nimeona wanaendesha bodaboda zao kwa Mbwembwe wajirekebishe kwa kweli haipendezi huu ni msiba
 
Hao wanazingua sana. Dar walileta huo upuuzi nikaona cruiser ya polisi imetokea nyuma ya msafara ikaja mbele, jamaa akawa anawapelekea kabisa gari nzima nzima ndio wakatoka.
 
Kwakweli ni washamba haswa sijui ni kamera au?...kuna utofauti mkubwa kati dar na dodoma kweli
 
Hao wanazingua sana. Dar walileta huo upuuzi nikaona cruiser ya polisi imetokea nyuma ya msafara ikaja mbele, jamaa akawa anawapelekea kabisa gari nzima nzima ndio wakatoka.
Hata wakigongwa flexh tu maana sio kwa upuuzi ule
 
Hawa wanasema kwa vitendo kuiambia dunia 'Baba sisi ndio tuliokuchagua Oct 2020'
 
๐Ÿ˜‚ kuna phaller mmoja anatembea na indicators, namuona kabisa akisababisha ajali jinga lilee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Umeona mkuu yaani kama watu wa ifwekenya ila afadhal hata wale kuliko hivi vijamaa
 
Nipo naangalia msafala wa magari ya msiba ila boda boda dodoma washamba sanaa kushobokea camera kama hawajawahi kuiona mpaka kero
Tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.

Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!

Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.

Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.

Watanzania siyo vilaza, wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.

Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu.

Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ