Ibrahim Msuya
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 572
- 1,264
do1.Ningewafukuza kazi hawa sema leo ni birthday yangu kwani nimezaliwa siku ya ijumaa.
2. Kati ya diamond na ali kiba wote ni wasanii wazuri lakini diamond huwa anachelewa stejini.
3. Namkubali ASLAY na BEKA.
Mkuu hii wizara ambayo watu wake wanavaa rangi za bendera ya taifa kama viraka ni shida.