Boda boda kufungwa trela

Boda boda kufungwa trela

Ibrahim Msuya

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
572
Reaction score
1,264
jaman sioni kama kunautifauti na bajaji maana kama itakuw inabeba watu 3 sa na bajaji zitakuw zinafanya nini si bora tukapande bajaji maaan watakuw wanakufa wengi
 
1.Ningewafukuza kazi hawa sema leo ni birthday yangu kwani nimezaliwa siku ya ijumaa.
2. Kati ya diamond na ali kiba wote ni wasanii wazuri lakini diamond huwa anachelewa stejini.
3. Namkubali ASLAY na BEKA.

Mkuu hii wizara ambayo watu wake wanavaa rangi za bendera ya taifa kama viraka ni shida.
 
do
 
Pikipiki ya kawaida ukifunga trela na kupakia zaidi ya mtu 1 ni shida.ni kama gari ya kubeba tani 3 unabeba tani 5. Isitoshe barabara zetu hazifai. Tutegemee ajali kuongezeka.
 
Ati nini?! Kuna binadamu aliyekula maharage ya wapi sijui kaamua hivyo?!
Na hiyo ikitekelezwa askari traffic wataacha kukamata vyombo vya moto vilivyozidisha uzito au?!
Amini amini nawaambia, kuna kitu wabongo wanakula/kunywa kinachowamomonyoa ubongo.....tatizo sijakigundua ni kitu gani.
 
Back
Top Bottom