Boda boda na wimbo wa Mwanza

Boda boda na wimbo wa Mwanza

fredism

Senior Member
Joined
Sep 6, 2017
Posts
151
Reaction score
151
Naomba BASATA waangalie upya suala la kuufungia wimbo wa Rayvany Uitwao Mwanza nyegezi maana unapigwa kila kona ya nchi hii, chunguza hili
 
.washikwe bodaboda wote wanao usikiliza au ahahaha umeyumba
 
Yaani unataka BASATA waanze kupita mtaani kufuta huo wimbo?
 
Kina Diamond waache ujinga, huu wimbo waurudie watoe yale maneno yenye ukakasi.

Kwa mfano badala ya Nyege nyegezi waseme Mege megezi, au Dege Degezi n.k, pale kwa Amber rutty waseme Anda buti, au Ama Kuti n.k. wimbo bado utakuwa hit tu.
 
Kwani ni wimbo gani uliowahi kufungiwa na ukaachwa kupigwa na boda boda?
 
Hapa Wailes kuna bar moja karibu na nyumbani. Huo Wimbo wanaucheza kila siku.
 
Back
Top Bottom