Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Najiuliza maswali mengi juu ya hawa bodaboda
Boda Boda anaweza kumchukua Baba wa familia akampeleka kwenye mchepuko alafu Boda Boda huyo huyo akamchukua Mama mwenye nyumba akampeleka kwa kiben ten na akawatunzia siri wala hawez kusema umbea na umbea una tabia ya kuwasha yataka moyo kwa Kweli.
Unakuta boda boda anatumwa kufata mademu tofauti tofaut na mkaka mmoja na kuwapeleka kwake leo atamfata Amina kesho lucy kesho kutwa nancy na wala hawaambii chochote lol wanaweza kujikuna umbea unavyowashaga yataka Moyo.
Boda boda anaweza kumbeba mpnz wako kampeleka guest na akufate ww akupeleke kazini na wala asikwambie mungu anawaona bodaboda
Asilimia kubwa ya boda boda wana wivuu kwa wake zaoo wanajua kinachotokea
Boda Boda wengi wanajua majina ya guest zote za mjini na bei zaooo ukitaka nzur mbaya ya kawaida wanajua zoteee
Hitimisho
Siku zote Boda Boda anayependa umbeya huwa anakosa wateja kijiweni na ukiona Boda Boda anapendwa na watu jua huyo ana siri nyingi za watu.