Boda Boda Wengi ni watunza siri wana mioyo ya chuma

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Najiuliza maswali mengi juu ya hawa bodaboda

Boda Boda anaweza kumchukua Baba wa familia akampeleka kwenye mchepuko alafu Boda Boda huyo huyo akamchukua Mama mwenye nyumba akampeleka kwa kiben ten na akawatunzia siri wala hawez kusema umbea na umbea una tabia ya kuwasha yataka moyo kwa Kweli.

Unakuta boda boda anatumwa kufata mademu tofauti tofaut na mkaka mmoja na kuwapeleka kwake leo atamfata Amina kesho lucy kesho kutwa nancy na wala hawaambii chochote lol wanaweza kujikuna umbea unavyowashaga yataka Moyo.

Boda boda anaweza kumbeba mpnz wako kampeleka guest na akufate ww akupeleke kazini na wala asikwambie mungu anawaona bodaboda

Asilimia kubwa ya boda boda wana wivuu kwa wake zaoo wanajua kinachotokea

Boda Boda wengi wanajua majina ya guest zote za mjini na bei zaooo ukitaka nzur mbaya ya kawaida wanajua zoteee

Hitimisho
Siku zote Boda Boda anayependa umbeya huwa anakosa wateja kijiweni na ukiona Boda Boda anapendwa na watu jua huyo ana siri nyingi za watu.
 
Halafu Boda boda huyo huyo anatumwa na jamaa kwenda kuuchukua mzigo aupeleke gesti kumbe ni wa bodaboda mwenyewe. Pamoto hapo [emoji23][emoji23]
Hapo ndo patachimbikaaa
 
Anayefuatia Kwa kutunza siri ni kwenye Maduka ya Akina Mangi. Hahahaha ukienda Kwa Mangi atakuunganisha na Mke wa Jirani yako na vice versa
Mangi anatoa bidhaa pesaa inaletwa baadae
 
Halafu Boda boda huyo huyo anatumwa na jamaa kwenda kuuchukua mzigo aupeleke gesti kumbe ni wake mwenyewe. Pamoto hapo [emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hapo ndo kuna shuhuli

Triple A
 
Najiuliza maswali mengi juu ya hawa bodaboda

Boda Boda anaweza kumchukua Baba wa familia akampeleka kwenye mchepuko alafu Boda Boda huyo huyo akamchukua Mama mwenye nyumba akampeleka kwa kiben ten na akawatunzia siri wala hawez kusema umbea na umbea una tabia ya kuwasha yataka moyo kwa Kweli.

Unakuta boda boda anatumwa kufata mademu tofauti tofaut na mkaka mmoja na kuwapeleka kwake leo atamfata Amina kesho lucy kesho kutwa nancy na wala hawaambii chochote lol wanaweza kujikuna umbea unavyowashaga yataka Moyo.

Boda boda anaweza kumbeba mpnz wako kampeleka guest na akufate ww akupeleke kazini na wala asikwambie mungu anawaona bodaboda

Asilimia kubwa ya boda boda wana wivuu kwa wake zaoo wanajua kinachotokea

Boda Boda wengi wanajua majina ya guest zote za mjini na bei zaooo ukitaka nzur mbaya ya kawaida wanajua zoteee

Hitimisho
Siku zote Boda Boda anayependa umbeya huwa anakosa wateja kijiweni na ukiona Boda Boda anapendwa na watu jua huyo ana siri nyingi za watu.
Hii ni zaidi ya ukweli huku sasa ndo utafiti sio wengine watafiti uchwara km twaweza big up Demiss
 
Ukitaka kujua tabia za mkeo/mmeo
wakat haupo ww mfate tu boda boda
Cr zote atakupa

Triple A
 
Boda boda ikifika mida ya saa 12 jioni huwa ndo mida ya kipiga pesa, kwakweli tunayaona mengi na kuvumilia mengi,

Unakuta mwanamke kalewa unampeleka kwake hajielewi ukimpakia kwenye boda inabidi ukumbatiwe wewe ili apate balance,

Mwingine kavaa sketi fupi akipanda boda joto lote linahamia kwako.

Mwingine anakupigia simu umfate kwa bwana wake au unampeleka kwa bwana wake ukimfikisha unataja bei yoyote unapewa na mshkaji wake.
Dem kaenda club usiku saa kumi anakupigia simu umfate.
Tuna roho nzuri sana
Tatizo ni polisi ndo wanatuharibia kazi zetu
 
Hongera mkuu kesho ntakutumia ya Kupozea kiu
 
Back
Top Bottom