Kuna bar nilikuwa naenda kila wkend, kila nilipolewa kuna boda boda alikuwa ananipeleka ghetto, yule jamaa kila nilipokuwa naunganisha mchuchu wa kushindua alikuwa ananiita pembeni ananipa siri, jamaa namshukuru Sana kiasi Fulani kaniepusha na mengi.