Nilipiga boda boda nilivyomaliza chuo kikuu nchini.Ulikua yangu peke yangu nilinunua mwaka 2010.Wakati Wa likizo nilikua napiga michongo.Kwa Ufupi ukiwaza kuhusu binadamu especially wanawake. Njaa na tamaa vinawaponza sana
Ha ha ha bodaboda wana mengi wanayoyajua
...haki bodaboda wangekua wambea walai leo hii nisingekua na macho wala masikio....heko kwa bodaboda wote.............
...nakumbuka kuna shoga angu alikua na bwana bodaboda....pia akawa na bwana mwingine ambae si boda boda. ....siku hyo yule bwana asie na bdbd akapanga akutane na shost yangu usiku wakakubaliana tym ilipofika yule bwana akakodi bodaboda kumfuata bi shost .....uwiii kumbe bila kujua yule bdbd pia ni bwana wa shoga angu ....he he he wakabebana mpk walikopanga wakutane ...ile wanafika yule best yangu kuangalia vizuri akagundua yule bodaboda ni bwanake na aliebebwa ni bwanake palikua patamu hapo si mchezo
Kuna bar nilikuwa naenda kila wkend, kila nilipolewa kuna boda boda alikuwa ananipeleka ghetto, yule jamaa kila nilipokuwa naunganisha mchuchu wa kushindua alikuwa ananiita pembeni ananipa siri, jamaa namshukuru Sana kiasi Fulani kaniepusha na mengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.