KERO Bodaboda amekamatwa na Jiji katozwa faini na kupewa hii karatasi badala ya risiti

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Bodaboda Msimbazi.jpeg
Hii ni risiti sijui niseme karatasi ambayo inaonesha Bodaboda alikamatwa tarehe 28 Septemba 2026 na Askari wa Jiji katika Mitaa ya Kariakoo wakati akishusha abiria.

Sasa hii ndiyo risiti kweli ya mtu kutozwa kiasi cha Sh 50,000?
 
Watu wanakula kwa urefu wa kamba yao.
Eboooh!!
 
Hii ni risiti sijui niseme karatasi ambayo inaonesha Bodaboda alikamatwa tarehe 28 Septemba 2026 na Askari wa Jiji katika Mitaa ya Kariakoo wakati akishusha abiria.

Sasa hii ndiyo risiti kweli ya mtu kutozwa kiasi cha Sh 50,000?
Bodaboda hata asipopewa risiti sawa tu. Wanyooshwe.
 
Teh, sehemu ya kuweka namba ya risiti ipo blank, kwa ufupi pesa imepita mfuko wa kushoto.
 
Hii ni risiti sijui niseme karatasi ambayo inaonesha Bodaboda alikamatwa tarehe 28 Septemba 2026 na Askari wa Jiji katika Mitaa ya Kariakoo wakati akishusha abiria.

Sasa hii ndiyo risiti kweli ya mtu kutozwa kiasi cha Sh 50,000?
kwani ukibisha kulipa nini kinatokea? maana hiyo karatasi ina mapungufu mengi kisheria
 
Back
Top Bottom