Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Leo majira ya saa 2:00 katika kituo cha Radio 5 jijini Arisha, walialikwa baadhi ya waendesha boda boda pamoja na viongozi wao.
Katika mahojiano ya namna wanavyopambana na changamoto za kazao, hawakusita kuzungumzia namna ambavyo walisaidika kwa kupewa mafunzo mbalimbali na maelekezo yaliyowasaidia kumudu. majukumu yao na kwa mafanikio wakijitahidi kufuata sheria na aliyekuwa RTO Bukombe wa kipindi kilichopita
"Bukombe alilichukulia suala la usalama kwa abiria na madereva kwa umakini mkubwa", Alisikika mwenyekiti wa umoja wa Bodaboda Arusha.
Tangu ahamishwe hapa Arusha hatujawahi kupewa mafunzo yoyote wala kuitwa na RTO mpya.
Chanzo: Radio 5