Hizo leseni walipewa bila kufuzu mafunzo? Je ni jukumu la RTO kutoa mafunzo kwa madereva waliokwisha fuzu na wana leseni? Hii ni hatari sana. NB: bongo kila kitu ni ''lalamika''. Kama wanajiona walipata leseni bila kufuzu basi ni jukumu lao kuji-organize na kuomba wapewe mafunzo. Siyo kulalamika.Leo majira ya saa 2:00 katika kituo cha Radio 5 jijini Arisha, walialikwa baadhi ya waendesha boda boda pamoja na viongozi wao.
Katika mahojiano ya namna wanavyopambana na changamoto za kazao, hawakusita kuzungumzia namna ambavyo walisaidika kwa kupewa mafunzo mbalimbali na maelekezo yaliyowasaidia kumudu. majukumu yao na kwa mafanikio wakijitahidi kufuata sheria na aliyekuwa RTO Bukombe wa kipindi kilichopita
"Bukombe alilichukulia suala la usalama kwa abiria na madereva kwa umakini mkubwa", Alisikika mwenyekiti wa umoja wa Bodaboda Arusha.
Tangu ahamishwe hapa Arusha hatujawahi kupewa mafunzo yoyote wala kuitwa na RTO mpya.
Chanzo: Radio 5
Basi wajikusanye halafu wapeleke maombi ya kupewa mafunzo. RTO hawawezi kuota kuwa hawana mafunzo.Asilimia 90 nchini hawana mafunzo
Nakumbuka Arusha uliwekwa na jeshi la polisi kukutana na bodaboda kwenye vijiwe vyao na kupewa mafunzo ya saa moja kwa muda wa wiki mbili.Basi wajikusanye halafu wapeleke maombi ya kupewa mafunzo. RTO hawawezi kuota kuwa hawana mafunzo.
Kwani yeye Bukombe anasemaje?Leo majira ya saa 2:00 katika kituo cha Radio 5 jijini Arisha, walialikwa baadhi ya waendesha boda boda pamoja na viongozi wao.
Katika mahojiano ya namna wanavyopambana na changamoto za kazao, hawakusita kuzungumzia namna ambavyo walisaidika kwa kupewa mafunzo mbalimbali na maelekezo yaliyowasaidia kumudu. majukumu yao na kwa mafanikio wakijitahidi kufuata sheria na aliyekuwa RTO Bukombe wa kipindi kilichopita
"Bukombe alilichukulia suala la usalama kwa abiria na madereva kwa umakini mkubwa", Alisikika mwenyekiti wa umoja wa Bodaboda Arusha.
Tangu ahamishwe hapa Arusha hatujawahi kupewa mafunzo yoyote wala kuitwa na RTO mpya.
Chanzo: Radio 5
Makao anasoma magazeti tu,no michongo😀Bukombe naona umechoshwa na bench la makao makuu umekuja kwa gia ya kukumbushia kama ulikuwepo.
Kuna vyuo vya udereva ambavyo dereva huweza kupata elimu ya udereva na kuhitimu,sijaona logic ya RTO kuhusishwa
Mkuu, umenichekesha sana. Alafu by the way, senior officers wote wakiwa RTO majukumu mengine ya huko ofisini atafanya nani?Bukombe naona umechoshwa na bench la makao makuu umekuja kwa gia ya kukumbushia kama ulikuwepo.
Kuna vyuo vya udereva ambavyo dereva huweza kupata elimu ya udereva na kuhitimu,sijaona logic ya RTO kuhusishwa
Kama ni suala la kiofisi/kisera basi automatically ofisi inajua huo utaratibu pasipo kujali ni nani RTO wa wakati huo. Sidhani kama Police wana utaratibu wa kujitungia tu mambo kichwani pasipo kufanya proper documentation.Basi wajikusanye halafu wapeleke maombi ya kupewa mafunzo. RTO hawawezi kuota kuwa hawana mafunzo.
Alikuwa anatengeneza PR nzuri na wadau wa tasnia yake ya usalama barabaraniJe ni jukumu la RTO kutoa mafunzo kwa madereva waliokwisha fuzu na wana leseni?
Leo majira ya saa 2:00 katika kituo cha Radio 5 jijini Arisha, walialikwa baadhi ya waendesha boda boda pamoja na viongozi wao.
Katika mahojiano ya namna wanavyopambana na changamoto za kazao, hawakusita kuzungumzia namna ambavyo walisaidika kwa kupewa mafunzo mbalimbali na maelekezo yaliyowasaidia kumudu. majukumu yao na kwa mafanikio wakijitahidi kufuata sheria na aliyekuwa RTO Bukombe wa kipindi kilichopita
"Bukombe alilichukulia suala la usalama kwa abiria na madereva kwa umakini mkubwa", Alisikika mwenyekiti wa umoja wa Bodaboda Arusha.
Tangu ahamishwe hapa Arusha hatujawahi kupewa mafunzo yoyote wala kuitwa na RTO mpya.
Chanzo: Radio 5
yeye mwenyewe ndio kaileta Mada hii kujipa PromoKwani yeye Bukombe anasemaje?
Hivi yuko makao makuu?