Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hivi Mtu asipoonekana kwa siku moja tu huwa tuna ripoti polisi? Is it normal?Baada ya kutoonekana nyumbani kwa siku nzima, tulikwenda kutoa taarifa kwa Serikali ya mtaa na kituo cha polisi ambapo kazi ya kumtafuta ilianza. Tulihangaika kumtafuta maeneo mbalimbali, tulifika mpaka hospitali, tulitangaza kwenye vijiwe vyote vya bodaboda, hatimaye jana majira ya asubuhi tukapata taarifa kuwa kuna mwili umeonekana porini,” amesema Msonga.
Kwamba wewe Mtoto wako hujamuona asubuhi mpaka jioni unaenda polisi na hospitalini kutafuta mwili?