Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hivi Mtu asipoonekana kwa siku moja tu huwa tuna ripoti polisi? Is it normal?Baada ya kutoonekana nyumbani kwa siku nzima, tulikwenda kutoa taarifa kwa Serikali ya mtaa na kituo cha polisi ambapo kazi ya kumtafuta ilianza. Tulihangaika kumtafuta maeneo mbalimbali, tulifika mpaka hospitali, tulitangaza kwenye vijiwe vyote vya bodaboda, hatimaye jana majira ya asubuhi tukapata taarifa kuwa kuna mwili umeonekana porini,” amesema Msonga.
Si walitaka kumpora fogokwenye hilo hayupo wa kusingiziwa gentleman, au mmepumzika kidogo tabia hiyo 🐒
Gentleman,Si walitaka kumpora fogo
Baharia 😄
Hapa,ulipoamka wewe nmeamka mimi gentleman
Ova
Umeuliza swali la kithenge! Kwani huyo dogo aliuliwa baada ya siku ngapi? Si siku iyo iyo Moja tu au? au siku moja ya kwanza aliyopotea mtu haitoshi kufanyiwa unyama!? au siku iyoiyo Moja haiwezekani mkianza oparesheni ya kumtafuta mkapata mtu akiwa hai au hajazuliwa bado?Hivi Mtu asipoonekana kwa siku moja tu huwa tuna ripoti polisi? Is it normal?
Kwamba wewe Mtoto wako hujamuona asubuhi mpaka jioni unaenda polisi na hospitalini kutafuta mwili?
Tambua sahv kuna wale wanaotenda maovu wanapita mule mule naoGentleman,
itakua umesahau kusingizia mamlaka za serikali kuhusu hilo sio bure 🐒
Mbona nyingi hyo,wanauza hata 500,000 tuT
Tamaa na Starehe kutaka pesa za nguvu unakuya mtu kwa pikipiki ambayo utauza Milioni zisizozidi 2
Wakati fulani dar bodaHizi habari zinatuumiza na kutuvunja moyo Sana kuhusu usalama wetu
Hizi habari zinatuumiza na kutuvunja moyo Sana kuhusu usalama wetu
Inasikitisha sanaMbona nyingi hyo,wanauza hata 500,000 tu
Ova
Watu kama hawa wakipwea tenda kama Ile ya Mo29 kwa Milioni tano tano Wana maliza kijiji chooteYani unamtoa roho binadamu mwenzako kwa ajili ya machuma tu?
Dogo mwenyewe nae muhangaikaji tu anajitafutia riziki yake ya halali,
Rest In Peace young Boy.