Bodaboda kapita na Side Mirror ya gari yangu. Nipo kwa fundi hapa narekebisha!

Bodaboda kapita na Side Mirror ya gari yangu. Nipo kwa fundi hapa narekebisha!

Freelancer

Bro habari.
Aisee samahan nadhan kuna shida kwenye cm yangu kila nikibonyeza kitufe cha PM kinaload lakin hakifunguki, tangu asubuhi.

Naomba nikujibu hapahapa kama hutojali.
Mie nipo Freelancer na Fiverr kitambo kidogo. Namie nilianza kama wewe.

Hata Nafaka na nani mwingine yule mshikaji bishoo bishoo hivi kuna siku walishaeleza humu kuwa kwa sasa competition kwenye hizi freelancing platforms ni kubwa kutokana na mwamko wa watu has a vijana (pamoja na ukosevu wa ajira)

Believe me. inahitaji subira kupata kazi ya kwanza. Na once ukiipata piga kiuhakika kweli kweli. Mie mwenyewe sio kwamba eti kazi nazipata kila siku, hapana!

Kuna week inapita unaambulia kikazi cha dollar 30 tu, au hamna kabisa. Kuna week unapata kazi moja lakin ina mpunga mrefu kidogo (mfano $300).

Yaani hakuna formula, si unajua ajira zisizo rasmi mzee. Vuta subira hauko peke yako.
Sema kama unataraji madollari ya kujichotea chotea mzee lazima ukimbie mapema. Lakin kama una willingness na tolerance, mie naamini baadae hautakua sawa na muda huu unaolalamika hupati kazi.

Chukulia mfano huu:
Kwenye industry ya Civil & Construction kuna makampuni 'Contractors' kibao. Wengine sana reputation kubwa (mfano China Civil, Six Telecom). Karibu kila tender kubwa kubwa unaona wanapata wao tu.

Wewe ni kampuni mpya imesajiliwa mwaka huu 2020 mwezi w tano. Unadhani utapata tenda nyingi na kubwa kubwa kama hao ma-guru? Vuta subira.

Halafu pia inategemea skills zako bro. Mie skills zangu tupo wengi lakin sio wengi saaana. Mambo ya sound, video editing na graphics.
 
hii tabia sio boda boda tu hata baadh ya madereva wa magar wanayo. kuna dala dala moja leo imemfanyia rough jamaa wa Land rover discovery...weee jamaa akaifukuzia ile daladala akaipiga pin. kamchomoa dereva akamuwasha makofi mawili matatu kisha akarud kwny ndinga yake akasepa
 
Duuuh. Hizo ndio shida za das'laam.
 
Mark my words my son .We jamaa bana ulishindwa kushuka uanze kumkimbiza kwa mguu,ukimshika unarudi nae kwenye gari lako ukiwa umembeba began humohumo kwenye gari unamlawiti mpaka foleni itakapoanza kutembea ndio unamuachia
 
Kweli we ni evilspirit
Mark my words my son .We jamaa bana ulishindwa kushuka uanze kumkimbiza kwa mguu,ukimshika unarudi nae kwenye gari lako ukiwa umembeba began humohumo kwenye gari unamlawiti mpaka foleni itakapoanza kutembea ndio unamuachia
 
Bro habari.
Aisee samahan nadhan kuna shida kwenye cm yangu kila nikibonyeza kitufe cha PM kinaload lakin hakifunguki, tangu asubuhi.

Naomba nikujibu hapahapa kama hutojali...
Dah, wanantumia emails za kazi kila baada ya dakika kadhaa.
 
Back
Top Bottom