Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
pole,Hayo yamesemwa na bodaboda katika kongamano la mwaka la Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria ambapo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni Mgeni Rasmi.
Mkutano huo umefanyika katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
kwani wewe ni kigogo pia, na kumbe sio muimba pambio tu hapa JFpole,
asante kuraise changamoto,
tutasort soon
relaxkwnai wewe ni kigogo pia, na kumbe sio muimba pambi tu hapa JF
tutarelax baada ya tanganyika kukombolewa - HOBO HOBOrelax
ni muhimu zaid kuota ndoto kwenye usingizi mzito usiku, ndoto za mchana tena kwenye daladala siti ya nyuma dirishani huwa ni vichekesho sana gentleman, unaweza kumpiga abiria mwenzako ngumitutarelax baada ya tanganyika kukombolewa - HOBO HOBO