Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hii nimeona leo mitaa ya Bunju!
Bodaboda kwa sasa jijini Dar ni donda lisilo na dawa.
Hata akiiona hali hii IGP Wambura atatamani arudi kozi ya utrafiki CCP, Moshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodaboda ni ajira, aliskika bwana mmoja wa UVCCM akisema.View attachment 2772653
Hii nimeona leo mitaa ya Bunju!
Boda boda kwa sasa jijini Dar ni donda lisilo na dawa.
Hata akiiona hali hii IGP Wambura atatamani arudi kozi ya utrafiki CCP, Moshi
Muhimbili sikuhizi wako vizuri kwenye upasuaji.Yesu wangu....🙊
Huyo jamaa wa pembeni amefyatuka kiungo cha muhimu sana mwilini, sasjui itakuaje...☹️
unapingana na UVCCM?Bodaboda ni Laaana
unapingana na UVCCM?
Ilikua maeneo gan?Jana wa2 wamekufa kwa ujinga wao wenyewe bado barabarani wanachubua magari yetu hawana ustaarabu kabisa. Nikinunua gari yenye ngao watapata tabu
Sijaona gari Dar ambayo haijachubuliwa na bodaboda.Jana wa2 wamekufa kwa ujinga wao wenyewe bado barabarani wanachubua magari yetu hawana ustaarabu kabisa. Nikinunua gari yenye ngao watapata tabu
Wana fujo sana.Sijaona gari Dar ambayo haijachubuliwa na bodaboda.
Tumewazoesha, kule chuga wanakutana na ngao za cruzer hakunaga ujinga.Wana fujo sana.
CCM haishindwi,Afisa usafirishaji😁😁😁
Unashangaa hiyo, boda anabeba mzigo wa fuso...