Bodaboda msilie wala kuumia, CHADEMA haioni umuhimu wenu lakini CCM inawajali na kuwaheshimisha

Bodaboda hawako Duniani kote, wako kwenye mataifa yenye kundi kubwa la maskini wa kipato cha chakula, miondombinu mibovu, viwanda vichache na yenye overpopulation.
Bodabodaa wako duniani kote, inamaana Nako uko wamelaaniwaa?? Vijana wameacha shuli zao za kuingiza kipato Kwa ajiri ya kulelea watoto wao, na kuja kumpokea ndugu Yao, halafu wanaambulia kutukana eti WAMELAANIWA?
 
Bodaboda hawako Duniani kote, wako kwenye mataifa yenye kundi kubwa la maskini wa kipato cha chakula, miondombinu mibovu, viwanda vichache na yenye overpopulation.
BAVICHA hamueleweki mjue mnasikitisha sana mnachanganywa sana na viongozi wenu. Kipindi viwanda vinajengwa mlipinga ujenzi wa viwanda leo mnasema viwanda vijengwe.
 
Mngewajali mngewatoa kwenye bodaboda na kuwapa kazi ya kueleweka

Nyie watoto wenu mbona sio boda?
Huwezi kulisaidia kundi la vijana kwa ajira rasmi pekee utakuwa unawadanganya. Vijana ni kundi kubwa ambapo inajumuisha wasomi sana, wasomi wa Kati na wasio wasomi hivyo huwezi kushughulikia kundi kubwa hivi kwa ajira rasmi ni lazima mikakati ya kuwashauri wajiajiri iwepo.

Moja ya njia ya vijana kujiajiri ni kupitia bodaboda na wengine Wana maisha mazuri sana kupitia kazi hii. Kupitia kazi hii tunaona amani ikiwepo mtaani sana na vijana Wana furaha sana. CHADEMA msiwadanganye vijana kwamba mkipewa dola mtaweza Kuwapatia vijana wote ajira
 
Akili mavi hamuwezi elewa kaziyenu kujichekesha kwa viongozi!!! Hamna akili kuona vijana wanahatarisha maisha kilasiku.
Sirikali hawana mpango wowote kuboresha hali zao...Kiongozi msafara wa ma v8 ulaya kilasiku huku watoto wanavunja miguu nakuharibu afya bodabodani ni upuuzi.
Serikali kupitia Veta ingewezesha uboreshwaji bodaboda zife waendeshe bajaji kwa kuuziwa kwa gharama ndogo karibia sawa na toyo, bajaji inausalama mara 100 zaidi ya bodaboda,serikali ikosolewe uchawa niujinga
 
We mpuuzi, kama bodaboda ni kazi, taja mtoto wa mbunge au DC anayefanya kazi ya bodaboda?
 
Kama boda boda ni kazi mbona watoto wao hafanyi kazi ya bodaboda?
 
Mkuu hii kauli ya Lema Imeniskitisha sana na ni vyema akajitokeza tena hadharani kuwataka radhi bodaboda
 
Fursa za kuwapa Ajira vijana ziko nyingi, tena Kwa kuanzia vijana wasomi

Kuna vijana wasomi wa IT na Wana office zao na wanafanya kazi ndogo ndogo Sana, why serikali isiwe inatumia kampun za hao vijana kufanya mambo ya computer kwenye taasisi zake? Unaona Hilo haliwezekani?

Kuna vijana wasomi Wana kampun ndogo ndogo za printing kwenye tishet, na graphics

Why nyie ccm msiwatumie hawa vijana kufanya printing za mabango yenu na tishet zenu na badala yake mnawapa wachina?

Janga la vijana linakuwa kubwa because ya uzembe ambao uko somewhere tu

Wanataka vijana wawe boda au waende manispaa wakiwa group la watu 50 wakapewe milion 2 wafuge Kuku au samaki

Me naungana na lema, kazi ya bodaboda ni kazi ya laaana
 
Bodabodaa wako duniani kote, inamaana Nako uko wamelaaniwaa?? Vijana wameacha shuli zao za kuingiza kipato Kwa ajiri ya kulelea watoto wao, na kuja kumpokea ndugu Yao, halafu wanaambulia kutukana eti WAMELAANIWA?

Kwa uelewa wako ww, Dunia inaishia wapi?

Possibly unajua dunia mwisho wake ni tunduma

Hiyo duniani kote unamaanisha Tanzania yote au dar es salaam yote
 
BAVICHA hamueleweki mjue mnasikitisha sana mnachanganywa sana na viongozi wenu. Kipindi viwanda vinajengwa mlipinga ujenzi wa viwanda leo mnasema viwanda vijengwe.

Because hakukuwa na kiwanda,
 
Bodaboda hawako Duniani kote, wako kwenye mataifa yenye kundi kubwa la maskini wa kipato cha chakula, miondombinu mibovu, viwanda vichache na yenye overpopulation.
Marekanii wapo Hadi kanada alipokuwa kema, bodabodaa Bado wapooo. Hata kama wawepo kwenye inchi masikini, ndio uwatukane kwamba wamelaaniwaa?? Huyu KIJANA awatake radhi bodabodaa wetuuu. Watu wamempokea Kwa shangwe na nderemo halafu wanaambiwa eti wamelaaniwaa? Kweliii??
 
Kwa uelewa wako ww, Dunia inaishia wapi?

Possibly unajua dunia mwisho wake ni tunduma

Hiyo duniani kote unamaanisha Tanzania yote au dar es salaam yote
Hata kanada wapo bodabodaa, ebu mwambieni jamaa yenu ajitokeze hadharani aombe msamahaaa, harakaa saaanaaa.
 
Bodaboda sio kazi ya kujivunia,mama ntilie sio fahari,kilimo cha jembe lamkono kiboreshwe.
Hayo na mengine bado nikero na kama unatetea kapike ubwabwa uuze na hao wanasiasa wafungue migahawa ili watoto na wake au waume zao wapike tuwanunuze

Lema yupo sahihi. Bodaboda acheni kudanganywa na wanasiasa tafuteni njia mbadala
 
Hii nayo unasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…