hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Muulize aliekua kanada amezipanda saana bodaa, sio anatoa laana Kwa wapiga kura wakee
Kwani mpiga kura akifanya kazi ya laaana asiambiwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize aliekua kanada amezipanda saana bodaa, sio anatoa laana Kwa wapiga kura wakee
Acha uongo wewe! Eti vijana wanafuraha na bodaboda!Huwezi kulisaidia kundi la vijana kwa ajira rasmi pekee utakuwa unawadanganya. Vijana ni kundi kubwa ambapo inajumuisha wasomi sana, wasomi wa Kati na wasio wasomi hivyo huwezi kushughulikia kundi kubwa hivi kwa ajira rasmi ni lazima mikakati ya kuwashauri wajiajiri iwepo.
Moja ya njia ya vijana kujiajiri ni kupitia bodaboda na wengine Wana maisha mazuri sana kupitia kazi hii. Kupitia kazi hii tunaona amani ikiwepo mtaani sana na vijana Wana furaha sana. CHADEMA msiwadanganye vijana kwamba mkipewa dola mtaweza Kuwapatia vijana wote ajira
Kama unaona bodaboda in kazi wanunulie watoto wako waendesheSio rahisi kukielewa alichosema Lema kama hutotumia mlango wa sita wa fahamu au jicho la tatu kukitafakari kwa makini lakini yote kwa yote bodaboda wamefedheshwa sana.
Mwenye kulaani na kubariki ni Mungu pekee na mafundisho ya kiimani yanafundisha juu ya kuongezewa kwa kile ulichonacho. Bodaboda ni kazi ambayo Mungu anambariki mwenye nayo na mwanadamu kumlaani mwenye kuifanya ni kuonesha mipango ovu mtu aliyonayo kwa sababu binafsi.
MTAZAMO WANGU
Binafsi ninaamini maneno ya Lema juu ya bodaboda ni mkakati wa CHADEMA na sio maneno tu kwa sababu bodaboda ni kundi linaloiamini sana CCM na kwa jicho la tatu unaona Kuna mpango wa kulifarakanisha kundi hili na CCM ili CCM ikose ushawishi nawaombia mtashindwa na hamtoweza. Jicho la tatu linaona sio bodaboda tu wanaolengwa na CHADEMA baada ya hapa watakuja kwa machinga, mama ntilie n.k
Kwangu, hii ni agenda ya upinzani kuwafitinisha Wananchi. Wanalenga makundi makubwa na yenye ushawishi kwa CCM. Hakuna mtu timamu mwenye kuweza kuilaani kazi na shughuli halali ya mtu from nowhere bila Jambo kuwa na faida kwake.
USHAURI KWA BODABODA
Poleni sana kwa dhihaka kubwa mliyopewa na CHADEMA ninatambua hawaoni umuhimu wote na Mara nyingine mnatumiwa kwenye shughuli zao bila kulipwa na hii ni kuwadharau sana.
Msilie wala msilalamike CCM ni chama kinachowajali na kuwaheshimisha. Toka serikali ya awamu ya nne mpaka CCM ipo pamoja na bodaboda.
Tumieni umoja wenu kuwaonesha wale wanaowadharau na kushindwa kuona umuhimu wenu ninyi ni jeshi kubwa. Pia, ninawashauri muendelee kujirasimisha na kuunda umoja wenye kwa ajili yenu.
USHAURI KWA CCM
Kwa kuwa kile CHADEMA kimeona vijana hawa hawafai , hii kwenu ni fursa ya kuwajengea imani juu ya CCM. Wahakikishieni shughuli zao ni baraka na sio laana. Wawezesheni kwa mafunzo ya usalama barabarani na utumiaji salama vyombo vyao ,wahimizeni kujirasimisha na mwisho shirikianeni nao kwenye mipango ya maendeleo.
Kazi ni kipimo Cha utu ni Imani ya CCM.
Ni Mtetezi wa bodaboda na machinga
Kama unaona bodaboda in kazi wanunulie watoto wako waendeshe
Aaache ujingaaa, kutukana tukana watu na Maishaa Yao. Hovyo kabisaaa.Kwani mpiga kura akifanya kazi ya laaana asiambiwe?
Kwani hizo bodabboda walipewa na chama gani, tuanzie hapoMTAZAMO WANGU
Binafsi ninaamini maneno ya Lema juu ya bodaboda ni mkakati wa CHADEMA na sio maneno tu kwa sababu bodaboda ni kundi linaloiamini sana CCM na kwa jicho la tatu unaona Kuna mpango wa kulifarakanisha kundi hili na CCM ili CCM ikose ushawishi nawaombia mtashindwa na hamtoweza. Jicho la tatu linaona sio bodaboda tu wanaolengwa na CHADEMA baada ya hapa watakuja kwa machinga, mama ntilie n.k
Umesahau namba ya simu sisterSio rahisi kukielewa alichosema Lema kama hutotumia mlango wa sita wa fahamu au jicho la tatu kukitafakari kwa makini lakini yote kwa yote bodaboda wamefedheshwa sana.
Mwenye kulaani na kubariki ni Mungu pekee na mafundisho ya kiimani yanafundisha juu ya kuongezewa kwa kile ulichonacho. Bodaboda ni kazi ambayo Mungu anambariki mwenye nayo na mwanadamu kumlaani mwenye kuifanya ni kuonesha mipango ovu mtu aliyonayo kwa sababu binafsi.
MTAZAMO WANGU
Binafsi ninaamini maneno ya Lema juu ya bodaboda ni mkakati wa CHADEMA na sio maneno tu kwa sababu bodaboda ni kundi linaloiamini sana CCM na kwa jicho la tatu unaona Kuna mpango wa kulifarakanisha kundi hili na CCM ili CCM ikose ushawishi nawaombia mtashindwa na hamtoweza. Jicho la tatu linaona sio bodaboda tu wanaolengwa na CHADEMA baada ya hapa watakuja kwa machinga, mama ntilie n.k
Kwangu, hii ni agenda ya upinzani kuwafitinisha Wananchi. Wanalenga makundi makubwa na yenye ushawishi kwa CCM. Hakuna mtu timamu mwenye kuweza kuilaani kazi na shughuli halali ya mtu from nowhere bila Jambo kuwa na faida kwake.
USHAURI KWA BODABODA
Poleni sana kwa dhihaka kubwa mliyopewa na CHADEMA ninatambua hawaoni umuhimu wote na Mara nyingine mnatumiwa kwenye shughuli zao bila kulipwa na hii ni kuwadharau sana.
Msilie wala msilalamike CCM ni chama kinachowajali na kuwaheshimisha. Toka serikali ya awamu ya nne mpaka CCM ipo pamoja na bodaboda.
Tumieni umoja wenu kuwaonesha wale wanaowadharau na kushindwa kuona umuhimu wenu ninyi ni jeshi kubwa. Pia, ninawashauri muendelee kujirasimisha na kuunda umoja wenye kwa ajili yenu.
USHAURI KWA CCM
Kwa kuwa kile CHADEMA kimeona vijana hawa hawafai , hii kwenu ni fursa ya kuwajengea imani juu ya CCM. Wahakikishieni shughuli zao ni baraka na sio laana. Wawezesheni kwa mafunzo ya usalama barabarani na utumiaji salama vyombo vyao ,wahimizeni kujirasimisha na mwisho shirikianeni nao kwenye mipango ya maendeleo.
Kazi ni kipimo Cha utu ni Imani ya CCM.
Ni Mtetezi wa bodaboda na machinga
Propaganda hizi Western mediaSio rahisi kukielewa alichosema Lema kama hutotumia mlango wa sita wa fahamu au jicho la tatu kukitafakari kwa makini lakini yote kwa yote bodaboda wamefedheshwa sana.
Mwenye kulaani na kubariki ni Mungu pekee na mafundisho ya kiimani yanafundisha juu ya kuongezewa kwa kile ulichonacho. Bodaboda ni kazi ambayo Mungu anambariki mwenye nayo na mwanadamu kumlaani mwenye kuifanya ni kuonesha mipango ovu mtu aliyonayo kwa sababu binafsi.
MTAZAMO WANGU
Binafsi ninaamini maneno ya Lema juu ya bodaboda ni mkakati wa CHADEMA na sio maneno tu kwa sababu bodaboda ni kundi linaloiamini sana CCM na kwa jicho la tatu unaona Kuna mpango wa kulifarakanisha kundi hili na CCM ili CCM ikose ushawishi nawaombia mtashindwa na hamtoweza. Jicho la tatu linaona sio bodaboda tu wanaolengwa na CHADEMA baada ya hapa watakuja kwa machinga, mama ntilie n.k
Kwangu, hii ni agenda ya upinzani kuwafitinisha Wananchi. Wanalenga makundi makubwa na yenye ushawishi kwa CCM. Hakuna mtu timamu mwenye kuweza kuilaani kazi na shughuli halali ya mtu from nowhere bila Jambo kuwa na faida kwake.
USHAURI KWA BODABODA
Poleni sana kwa dhihaka kubwa mliyopewa na CHADEMA ninatambua hawaoni umuhimu wote na Mara nyingine mnatumiwa kwenye shughuli zao bila kulipwa na hii ni kuwadharau sana.
Msilie wala msilalamike CCM ni chama kinachowajali na kuwaheshimisha. Toka serikali ya awamu ya nne mpaka CCM ipo pamoja na bodaboda.
Tumieni umoja wenu kuwaonesha wale wanaowadharau na kushindwa kuona umuhimu wenu ninyi ni jeshi kubwa. Pia, ninawashauri muendelee kujirasimisha na kuunda umoja wenye kwa ajili yenu.
USHAURI KWA CCM
Kwa kuwa kile CHADEMA kimeona vijana hawa hawafai , hii kwenu ni fursa ya kuwajengea imani juu ya CCM. Wahakikishieni shughuli zao ni baraka na sio laana. Wawezesheni kwa mafunzo ya usalama barabarani na utumiaji salama vyombo vyao ,wahimizeni kujirasimisha na mwisho shirikianeni nao kwenye mipango ya maendeleo.
Kazi ni kipimo Cha utu ni Imani ya CCM.
Ni Mtetezi wa bodaboda na machinga
CCM ingekuwa inawajali hata WATOTO WAO wangekuwa WANAENDESHA BODABODA BAJAJI MACHINGA NA MAMA NTILIE Lakini Watoto Wao wako BANK KUU TRA BANDARI N.KSio rahisi kukielewa alichosema Lema kama hutotumia mlango wa sita wa fahamu au jicho la tatu kukitafakari kwa makini lakini yote kwa yote bodaboda wamefedheshwa sana.
Mwenye kulaani na kubariki ni Mungu pekee na mafundisho ya kiimani yanafundisha juu ya kuongezewa kwa kile ulichonacho. Bodaboda ni kazi ambayo Mungu anambariki mwenye nayo na mwanadamu kumlaani mwenye kuifanya ni kuonesha mipango ovu mtu aliyonayo kwa sababu binafsi.
MTAZAMO WANGU
Binafsi ninaamini maneno ya Lema juu ya bodaboda ni mkakati wa CHADEMA na sio maneno tu kwa sababu bodaboda ni kundi linaloiamini sana CCM na kwa jicho la tatu unaona Kuna mpango wa kulifarakanisha kundi hili na CCM ili CCM ikose ushawishi nawaombia mtashindwa na hamtoweza. Jicho la tatu linaona sio bodaboda tu wanaolengwa na CHADEMA baada ya hapa watakuja kwa machinga, mama ntilie n.k
Kwangu, hii ni agenda ya upinzani kuwafitinisha Wananchi. Wanalenga makundi makubwa na yenye ushawishi kwa CCM. Hakuna mtu timamu mwenye kuweza kuilaani kazi na shughuli halali ya mtu from nowhere bila Jambo kuwa na faida kwake.
USHAURI KWA BODABODA
Poleni sana kwa dhihaka kubwa mliyopewa na CHADEMA ninatambua hawaoni umuhimu wote na Mara nyingine mnatumiwa kwenye shughuli zao bila kulipwa na hii ni kuwadharau sana.
Msilie wala msilalamike CCM ni chama kinachowajali na kuwaheshimisha. Toka serikali ya awamu ya nne mpaka CCM ipo pamoja na bodaboda.
Tumieni umoja wenu kuwaonesha wale wanaowadharau na kushindwa kuona umuhimu wenu ninyi ni jeshi kubwa. Pia, ninawashauri muendelee kujirasimisha na kuunda umoja wenye kwa ajili yenu.
USHAURI KWA CCM
Kwa kuwa kile CHADEMA kimeona vijana hawa hawafai , hii kwenu ni fursa ya kuwajengea imani juu ya CCM. Wahakikishieni shughuli zao ni baraka na sio laana. Wawezesheni kwa mafunzo ya usalama barabarani na utumiaji salama vyombo vyao ,wahimizeni kujirasimisha na mwisho shirikianeni nao kwenye mipango ya maendeleo.
Kazi ni kipimo Cha utu ni Imani ya CCM.
Ni Mtetezi wa bodaboda na machinga
BAVICHA hamueleweki mjue mnasikitisha sana mnachanganywa sana na viongozi wenu. Kipindi viwanda vinajengwa mlipinga ujenzi wa viwanda leo mnasema viwanda vijengwe.
Ninyi ndiyo wale wasomi mliopewa dhamana ya kuishauri serikali lakini mnashindwa kuleta tija. Hivi hapo kuna kazi ya kuumiza kichwa kuwaandalia ajira salama vijana wasio na elimu? Haya pamoja na kuwa sina elimu kubwa nakupa mfano.Zungumzia vijana wasio wasomi wanasaidiwa vipi kwenye ajira rasmi ?kwa vijana wasomi kila siku serikali inatengeneza mazingira ya kuwaajiri lakini vipi wale wasio wasomi ambalo ni kundi kubwa zaidi.