Bodaboda nao waomba kusafiri na Rais Samia kwenye ziara za nje ya nchi

Tunaomba na sisi wamachinga tusafiri na mheshimiwa tukajifunze jinsi ya kufanya biashara kitaalamu.
 
Na sisi wapambanaji mtukumbuke jaman


Kazi ni kipimo cha UTU
 
Mwisho na Wamasai watasema wapelekwe nao kwenye maonyesho
Na Wachawi pia waombe halafu madangaji
Yaani badala ya kuwaza maendeleo watu wanawaza ambayo hata wanyama wangetushangaa kama wanatuelewa
 
Picha inaonyesha wapo Morogoro
 
Nasisi wakulima tunataka kusafiri kwenda kupata uzoefu wa wakulima wenzetu wa USA,

Sisi bodaboda tunataka kwenda kujifunza kwa bodaboda wenzetu wa London.
 
Usafiri imara huzaa uchumi imara, kheri ya hawa kuliko wale wa mamakimbo.
Huenda nao wametunikiwa dipuloma.
 
Nashauri na dada poa wa Kimboka Buguruni nao wasafiri nje ya nchi katika ziara hizo ili kuongeza ufanisi katika kazi zao
tena wangepelekwa thailand wakajifunze zaidi namna bora ya kuiuza nyama wenzao wanahadi mashine za efd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…