Bodaboda ni kazi ya ku take risk sana

Huo ndio mgawanyo wa kazi mkuu!
 
maskini jamani
 
Risk wanayotake bodaboda ni kubwa sana, bodaboda anatake risk kila siku kwa kuotafuta elfu 1.

Kwa kila safari moja ya sh. Elfu 1, 2, 3 n.k bodaboda anaweka rehani roho yake.
View attachment 3311075
Hao watu ni mtaji wa Chama cha mapinduzi (CCM) ,malipo Yao ni kujaziwa mafuta kwenye pikipiki zao wakati wa kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…