50/50Samahani aisee usipokuwa dereva wa boda asilimia za kufa zinakuwa ngapi?
Katika vitu ambavyo nimemkubali Godbless Lema siku zote ni hili la kusema boda boda siyo kazi bali kuhatarisha maisha ya vijana.kwenye maisha yangu nilishakataa kuwa bodaboda au kuwa mlinzi.bora nilale njaa
Si kweli,labda kama unazo statistics ku back up your argument. Kabla ya bodaboda watu walikuwa wanaendesha pikipiki sana tuu, za binafsi na za kazini. Mimi nimeendesha pikipiki miaka 20, nimeanzia Honda Trail 110, XL 125 na Baadae Yamaha 250...Sisi tulikuwa tunazingatia sana taratibu za usalama barabarani. Hii ya sasa unakuta alfajiri tayari vijana wameshapiga smart gin au Kvant kuna kitu hapo?Kuendesha pikipiki barabara kuu ni risk haijalishi wewe ni bodaboda ama ni usafiri wako binafsi tu.
Nimeshuhudia misiba ya wazee wastaafu waliofariki ajali ya pikipiki wao wakiwa ndiyo madereva!
Labda huendeshi highway,Si kweli,labda kama unazo statistics ku back up your argument. Kabla ya bodaboda watu walikuwa wanaendesha pikipiki sana tuu, za binafsi na za kazini. Mimi nimeendesha pikipiki miaka 20, nimeanzia Honda Trail 110, XL 125 na Baadae Yamaha 250...Sisi tulikuwa tunazingatia sana taratibu za usalama barabarani. Hii ya sasa unakuta alfajiri tayari vijana wameshapiga smart gin au Kvant kuna kitu hapo?
UwongoHiyo kazi ukiianza lazima futi sita zikuite ndani ya muda mfupi
Lisu Mwenyewe kaweka rehani maisha yake.No risk taking no benefits.Risk wanayotake bodaboda ni kubwa sana, bodaboda anatake risk kila siku kwa kuotafuta elfu 1.
Kwa kila safari moja ya sh. Elfu 1, 2, 3 n.k bodaboda anaweka rehani roho yake.
View attachment 3311075
juzi pale bunju dawasco boda boda kapigiwa honi na gari akataka atoke pembeni kumbe bara bara pembeni ina zile cabistone.ngao ya pikipiki ikapiga akarudishwa barabarani.karudisha namba mapema tu.alafu bado kijana na ana mkeKatika vitu ambavyo nimemkubali Godbless Lema siku zote ni hili la kusema boda boda siyo kazi bali kuhatarisha maisha ya vijana.