Yumo humu?
Dah kumbe una roho ya kinyama namna hii!!Kazi ya hayo manati ni kupasua vichwa .
Ulichokisema ndo cha kweli na hakika mkuu.Huna jeuri ya kuhit moving object kwa manati ya mzungu,huo ndio ukweli,kwanza ukikwapuliwa kuna sekundi kama 15 to 20 za mshangao,wakati wewe unashangaa bodaboda inachanja mbuga kuwiden gap,labda umepiga warning shot lakini sio kumpata mwizi wako
Sent using Jamii Forums mobile app