Replica JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 1,681 Reaction score 8,887 Jul 14, 2023 #1 Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 16,879 Reaction score 31,253 Jul 14, 2023 #2 Umesahau kuwa Ruto alikataa Ku subsidies mafuta? Huku kwetu mafuta yana ruzuku
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jul 14, 2023 #3 Duh aiseee
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Jul 14, 2023 #4 But then si wana contribute kwenye uchumi wetu?
Replica JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 1,681 Reaction score 8,887 Jul 14, 2023 Thread starter #5 Chaliifrancisco said: But then si wana contribute kwenye uchumi wetu? Click to expand... Kama ruzuku bado ipo, wanachukua kodi zetu.. Upande wa pili wanachangia mnyororo wa mafuta kama ajira etc
Chaliifrancisco said: But then si wana contribute kwenye uchumi wetu? Click to expand... Kama ruzuku bado ipo, wanachukua kodi zetu.. Upande wa pili wanachangia mnyororo wa mafuta kama ajira etc
Replica JF-Expert Member Joined Aug 28, 2017 Posts 1,681 Reaction score 8,887 Jul 14, 2023 Thread starter #6 Econometrician said: Umesahau kuwa Ruto alikataa Ku subsidies mafuta? Huku kwetu mafuta yana ruzuku Click to expand... Hivi hii ruzuku hawakuondoa mkuu? Na wakaongeza tozo ya tshs 100 kwenye bajeti ya juzi..!
Econometrician said: Umesahau kuwa Ruto alikataa Ku subsidies mafuta? Huku kwetu mafuta yana ruzuku Click to expand... Hivi hii ruzuku hawakuondoa mkuu? Na wakaongeza tozo ya tshs 100 kwenye bajeti ya juzi..!
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Jul 14, 2023 #7 Replica said: Kama ruzuku bado ipo, wanachukua kodi zetu.. Upande wa pili wanachangia mnyororo wa mafuta kama ajira etc Click to expand... Sikulifikiria hili katika hiyo angle
Replica said: Kama ruzuku bado ipo, wanachukua kodi zetu.. Upande wa pili wanachangia mnyororo wa mafuta kama ajira etc Click to expand... Sikulifikiria hili katika hiyo angle
Mzingo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 4,729 Reaction score 10,500 Jul 14, 2023 #8 Raisi wa Nigeria ,Tinubu aliondoa ruzuku kwenye mafuta nchi za jirani yake "zikalia"