Bodaboda wa Kenya wanavuka mpaka kufata mafuta ya bei nafuu Tanzania

Bodaboda wa Kenya wanavuka mpaka kufata mafuta ya bei nafuu Tanzania

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Bodaboda kutoka nchini Kenya sasa wanavuka mpaka na kuingia Tanzania kufata mafuta ya bei nafuu huku Tanzania ikitajwa kuwa na bei ya chini zaidi ya dizeli na petroli kutokana na mfumo wa kuagiza mafuta kwa pamoja 'Bulk procurement'

Screenshots_2023-07-14-07-01-27.png
 
Raisi wa Nigeria ,Tinubu aliondoa ruzuku kwenye mafuta nchi za jirani yake "zikalia"
 
Back
Top Bottom