Tetesi: Bodaboda wachoma gari(SUV) Arusha

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Kuna taarifa kuwa kuna gari aina ya SUV limechomwa moto na madereva boda boda maeneo ya Sakina.

Ikumbukwe kuwa hili linaweza kuwa tukio la pili la bodaboda wa maeneo hayo kuchoma gari.

My take:
Ikiwezekana Serikali ikifungie kijiwe husika cha bodaboda ili iwe fundisho dhidi ya uhuni huu.
 
Sasa hivi Tanzania kila mtu ana hasira
 
Lazima kuwe na sababu hawawezi wakaanza kuchoma kama vichaa!

Hawa jamaa omba usiingie kwenye 18 name zao hasa umgonge mwenzao halafu usimame hapo hapo kujifanya bwana huruma.
 

Mkuu gari aina ya SUV ndio gari gani hiyo?
 
Wanamshika sharubu Gambo hawa.. aliyewasaidia kupata mikopo ya pikipiki zao... Miafrica ndio ilivyo
 
Mkuu gari aina ya SUV ndio gari gani hiyo?
mleta mada hivi vi`habari visivyo rasmi then hata picha hakuna inakuwa inaleta ukakasi kwenye habari yako,na wewe unayeuliza maana ya SUV upo kweli mjini au?unatakiwa uwe na tabia ya kujifunza vitu vingi kadri uwezavyo ili uwe unakwenda sambamba na wenzio tuliopo mijini,
SUV maana yake ni A sport utility vehicle or suburban utility vehicle (SUV)
 

Acha ujuaji wewe, SUV ni muundo tu wa gari kama ulivyo BUS, Sedan, Pick up. Swali langu lazima kutakuwa na gari alafu ndio muundo ufuate. Angesema kama ni toyota labda Harrier hiyo muundo wake ni SUV, sasa anakurupuka anatoa taarifa SUV ndio maana nikamuuliza SUV ndio nini
 
Kama ni kweli, watanzania tuwe na tabia ya kutojichukulia sheria mikononi... Hope hicho kituo hata sasa hao dereva bodaboda hawapo..
 
Bodaboda nchi nzima ni kundi la wahalifu
 
Mnaitumbukiza wewe na kundi lako nchi kwenye jahanamu. Mnajenga chuki ambayo itatupeleka genocide. Stop that please
 
Boda boda wengi walikuaga majambazi ndo wakapata pa kujiajiri wakacha ujambazi lakini sasa wanamiss kufanya matukio kama hivyo ndo maama
 
Ina maana mleta mada taarifa aliyonayo inawezekana ni SUV details za ni make au model gani hana mbona unaleta unnecessary league!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…